Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nataka kujua ni wapi Iliki inalimwa/inapatikana kwa wingi ktk mkoa tajwa.
Screenshot_2017-12-08-12-01-17.png
 
Ngoja waje wajuzi wasaidie ukishindwa unaweza kitafuta Tanga na Morogoro kama nitakuwa sijakosea
 
Wahindi wanaita ellakkai zao hili ni maarufu nchini Sri Lanka ambako kikianza kulimwa tangu karne ya 12. hiriki ni kiungo kinachotumika kuuungia chai na vyakula kama pilau, maandazi na vinginevyo.

For other uses, see Cardamom (disambiguation).

Cardamom

True cardamom (E. cardamomum)

Processed Cardamom pods
Scientific classification
Kingdom: Plantae
(unranked): Angiosperms
(unranked): Monocots
(unranked): Commelinids
Order: Zingiberales
Family: Zingiberaceae

Genera

Cardamom seeds

Ingawa biashara ya iliki ilianzia Sri Lanka, sikuhizi inalimwa Guatemala, Malaysia na Tanzania. Mjerumani ambae alikuwa mkulima wa kahawa alianza kulima iliki Guatemala kabla ya vita ya kwanza ya dunia na kufikia mwaka 2000 Guatemala ilikuwa mzalishaji wa kwanza wa iliki duniani.

Hiriki ni kiungo kinacho shika nafasi ya tatu kuuzwa kwa gharama kubwa duniani, kiungo cha kwanza ni vanilla ikifuatiwa na saffron kwa Tanzania hiriki hulimwa kwenye milima ya usambara Amani Tanga bei ya kilo moja ya hiriki kwa sasa hivi ni Tsh 30,000
 
Back
Top Bottom