Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

🤣 🤣 Anyway..maana yake ni kuwa kwa kawaida jamaa wa steam huwa wanauza hulu game 20$ ila kwa sasa wameweka punguza maalum bei imekuwa 5$ tu (kama 12,000/-) na hiyo ni game original ambalo unaweza kuacheza online, pia zile dlc na map mbalimbali zimeshuka bei sana nyingi ni zaidi ya 50% off so kwa wale wanaotaka kumiliki hili game kabisa ndo wakati wake huu..
 
YES 💪 💪 NAONA KWA SASA TUKO SAWA K CAMP NI LAMANI GAN KWA SASA NI NZULI YENYE BARABARA ZA VUMBI NA KOLONGO ZA KUTISHA .
 
🤣 🤣 Anyway..maana yake ni kuwa kwa kawaida jamaa wa steam huwa wanauza hulu game 20$ ila kwa sasa wameweka punguza maalum bei imekuwa 5$ tu (kama 12,000/-) na hiyo ni game original ambalo unaweza kuacheza online, pia zile dlc na map mbalimbali zimeshuka bei sana nyingi ni zaidi ya 50% off so kwa wale wanaotaka kumiliki hili game kabisa ndo wakati wake huu..

YES KAZ NI KWETU
 
YES NAONA KWA SASA TUKO SAWA K CAMP NI LAMANI GAN KWA SASA NI NZULI YENYE BARABARA ZA VUMBI NA KOLONGO ZA KUTISHA .
Yni zipo kibao...tu

Ngoja nikitulia nikupe list...au chek channel moja YouTube inaitwa pixell jamaa anaeka sana mods za kibabe
 
Wakuu naombeni mawazo yenu.
Nina Pc mpya na haitaki kuplay games kutoka kule ocean of games. Maana hata nikiinstal required kama direct X lakini bado inakataa
Nifanyeje?
 
Hebu weka hapa properties za hyo pc kwanza
 
Back
Top Bottom