Naunga mkono hoja, yaani hazeeki!To be honest,mtoto ametulia sana!!
Haya bana, chungu kuona kivuno.Hiyo ni kama ganda la mua la jana, chungu kaona kivuno!
Mkuu kumbe upo Arusha basi tutafutane kikukutanishe na kina JL wa Arusha!Nimevutiwa na huo mzigo tu
Wenzetu hawatumii mchina kama sisi mkuu, kitu natural kabisa hicho.Du! Ni kivazi tu au hata mchina inclusive?
Hawa si huwa wanafanyiwa operesheni kuongeza ukubwa wa mzigo?Wenzetu hawatumii mchina kama sisi mkuu, kitu natural kabisa hicho.
Kwa hilo sina uhakika sana lakini wenzetu wanazingatia sana mazoezi sana kulingana na uhitaji wake, yaani akitaka kukata tumbo kuna mazoezi atayazingatia.Hawa si huwa wanafanyiwa operesheni kuongeza ukubwa wa mzigo?
Nadhani alitaka kuonyesha bado wamo yaani hajachoka.Mbona nyuma kama kunaonyesha? Anajisahau kuwa yeye ni mama mapacha?
Teh teh teh! Popoooooooo...!!Churaaaaaaaa endeleeeeea!