Fagio la chuma la Mwakyembe lapandisha mapato bandari ya Dar es Salaam

Huyu Dr. Uchwara amechoka kuishi katika dunia hii takatifu..! Alianza na Edo kumbe bado hajakoma. Anajifanya ana uchungu na nchi hii kuliko wenye nchi..! I think its right time to get his neck twisted..!

Je wewe ni miongoni mwa wale majeruhi wa Bandari zetu hapa nchini??? Maombi yako hayana mshiko wewe ndiwe uka......mbali. Au wewe ni fisadi???
 
sote tunamfwatilia kwa karibu sana tena bila kelele ila kwa furaha sana mara baada mwakyembe kusaulu katika darasa la maghufuli kwamba dawa ni ukimya, uchapaji kazi kwa sana, na uadilifu kisha uache wananchi tuone wenyewe lakini zawadi ni mpaka pale ambapo wamekihama ccm.

chama hakileti maendeleo, ni jina tuu, wananchi wenye ari, imani,waadilifu, waaminifu ndio wenye uwezo wakukijenga chama na nchii. Ccm pia ina wengi wazuri, na cdm pia ina wengi wabaya.
 
Je wewe ni miongoni mwa wale majeruhi wa Bandari zetu hapa nchini??? Maombi yako hayana mshiko wewe ndiwe uka......mbali. Au wewe ni fisadi???
Hapana, mimi ni mtanzania ninayeishi kwa marupurupu. Mshahara wa serkalini umewekwa kuwa mdogo coz watu tutaishi kwa marupurupu. Sasa laki 4 kwa mwezi itatoshea nini? Nadhani tungeanza kuongeza mishahara then ndo tupige vita hii neema ya marupurupu inayotuweka mjini..!
 
Huyu Dr. Uchwara amechoka kuishi katika dunia hii takatifu..! Alianza na Edo kumbe bado hajakoma. Anajifanya ana uchungu na nchi hii kuliko wenye nchi..! I think its right time to get his neck twisted..!

Santo nina wasiwasi huna akili, au unafiiria kwa tumbo, au ni miongoni ya mafisadi wakubwa nchi hii. Inawezekanaje ukamkashifu Mwakyembe kwa kufanya ongezeko la bilioni 12 kwa mwezi. Ama kweli dunia ina watu na majitu
 
Wivu wa kike!
 
shida ta taifa letu ni kuwa watu kama hawa badala ya kuwapatia ushirikiano ili tutoke katika hali tuliyo nayo sasa sisi tunaanza kupiga majungu ya kuwa huyu jamaa ana fitina ili mwisho wa siku ionekane kwa bwana mkubwa ya kuwa jamaa anakiuka miiko ya kazi
 
Ndio ujue kwamba tatizo letu ni kubwa kuliko wengi tunavyodhani, zaidi tu ya CCM na Upinzani, au Bw. Kikwete na Bw. Slaa, linakwenda chini sana zaidi ya hapo!

kaka mwakyembe wewe endelea na hilo sisi tunaojua mchango wako tutaendelea kukuunga mkono kila kukicha na ipo siku ukweli utasimama kwani wewe upo kwa ajili ya nguvu ya wengi ambaye kwangu mimi na wengine tunasema ni nguvu ya mungu
 
Uchaguzi wa Kenya unaingiaje hapa?

Mkuu sina ubaya na Mwakyembe na usinielewe vibaya, sidhubutu kumsema vibaya mtu ambaye japo kwa sasa anajitahidi kama huyo, ila ilikuwa kama kumpa changamoto... kumbuka kuwa kutokana na uchaguzi wa Kenya Mizigo yote ya UN haipiti tena Mombasa bali Daressalaam, sasa je baada ya uchaguzi Kenya kuja kuisha salama na tunawaombea mizigo hiyo au dili ya UN litabaki Dar au litarudishwa?
 
Huyu Dr. Uchwara amechoka kuishi katika dunia hii takatifu..! Alianza na Edo kumbe bado hajakoma. Anajifanya ana uchungu na nchi hii kuliko wenye nchi..! I think its right time to get his neck twisted..!

Hopeless
 
Dr. Ucwara kwa vipi? This is a serious form. Usilete utani. Kipi baya anachofanya hadi "tuzungushe" shingo yake? Those who tried to twist his neck did not succeed - do want to try?
 
Don get me wrong, was conducting an intellectual test..! I respect Dr. Mwakyiembe
 
Santo nina wasiwasi huna akili, au unafiiria kwa tumbo, au ni miongoni ya mafisadi wakubwa nchi hii. Inawezekanaje ukamkashifu Mwakyembe kwa kufanya ongezeko la bilioni 12 kwa mwezi. Ama kweli dunia ina watu na majitu
Don get me wrong, was conducting an intellectual test..! I respect Dr. Mwakyiembe
 
Kazi aliyo ianza mh.mwakyembe ndani ya wizara yake ya uchukuzi imepandisha mapato ya bandari ya dar es salaam kutoka bil.38 kwa mwezi mpaka bil.50 kwa mwezi wa disemba.

Hii ni dhahiri tosha kuwa viongoz wa mamlaka ya bandari walikuwa wanafanya kazi kwa utendaji mbovu kwa manufaa ya matumbo yao.

here we go Mwakyembe naamini unafanya kazi kwa kujitolea sana kwa Taifa lako angalau muweze kututoa kwenye kiza kilchotanda mbele yetu.

Source? Proof?
 
Back
Top Bottom