weweee mwanamke mwenzangu mbona unaninyanya wakati kazi yako iko tayari? Au kwasäbabu ya hili lizungu lako
Mokoyo, haya maoni yako ni 100% off side bcos huyu mwenye nguo nyeusi ni mwamvita na huyo mzungu ni husband wake. : as you were, if you dont mind.