Facebook ya bure

Haaa kumbe? Sasa hilo salio linakuwa linaisha taratibu au inakuwaje hapo?
 
Facebook hata hizo mb 8 mbona ni nyingi? Kwa nini whatsapp hawatoi bure? Wanakwepa nini? Mimi sijawahi kushawishika na hizo huduma za bure za facebook na tweeter maana ninachookoa sikioni.
 
Ukiwa na bando ndio utatumia fb ya bure

Kama unatumia operamini, bando lako likiisha utaendelea tu kutumia bure ila ukitoa laini na kuiweka au uki clear cookies ndo basi utaikosa, sidhani kama wamebadili tena hii kitu.

Mwanzoni mtu ulikua una access bure tu bila ata kuwa na data bundle, Lakini baadhi ya watu walitumia nafasi ile ku access na site nyingine bure pamoja nakushusha ma movie, sahizi sijajaribu hii 0.internet kwasabu ata nikiweza access sitaeza download Ip man 3 ata tela moja kwasabu ya speed ndogo ya net ktk eneo langu.
 
snipa
Sasa hivi naona wamebadili bundle lako likiisha huwezi kuendelea kutumia facebook wala jamiiforums ya bure.
Ila ukiwa na bundle ndio unatumia bure
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom