Mlolwa Edward
Member
- Nov 1, 2016
- 46
- 61
Jamani sasa hivi facebook kuna wimbi kubwa sana la account za watu zimedukuliwa. Jambo la kusikitisha na kutia aibu kupitiliza ni kwamba account hizi zinatumia na wadukuzi kurusha maudhui ya ngono za wazi (explicit content).
Yani ni too much kiasi kwamba huwezi scroll feed mara tano bila kukuta hivi vitu. Wito wangu kwa majukwaa ya habari kama haya naombeni jamani muweze kuwaelimisha watu juu ya hili, vilevile ujumbe huu uwafikie serikali na mamlaka zake watu hawa (wadukuzi )waweze kufatiliwa na kushughulikiwa.
Ni too much sio kwenye groups sio Personal accounts