FA Cup: Man U vs Everton

Dakika ya 14 kipindi cha kwanza cha nyongeza, Everton wanapata kona na kushindwa kupata goli
 
15 za kwanza zimekatika. SAF anatafuna BIG G yake kama ugomvi anaonekana ana wasi wasi mkubwa.
 
Dakika ya 18 inaenda hiyo,

Man U mnanusurika tena. Icadon upo wapi weyeeee?
 
3 minutes to go, Man U 0 - Everton 0.

Mmeshikwa sharubu kwelikweli. Icadon anasubiri kuona hali itakuwaje
 
BelindaJacob,

Sema best... Teh teh teh!

Mie nachekeleeea... Mtatoka kwenye matuta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom