Frankly speaking, Man U mmesimama imara katika mechi hii. Nawaombea mfungwe ili tupate kibonde fainali hehehehe
Sure,Tusubirie dk 90 ila wakishinda powa! Jana mmewahuzunisha watoto wa Wenger jamani!..Ila na nyie mpo imara,no doubt kikosi chenu kimetulia na mdachi!