FA Cup: Man U vs Everton

Watu weweeeeeeeeeeeeeee.Tatizo jana umechonga sana mtu wangu,ukajisahau kabisa kwamba na wewe leo unatakiwa kuvuka mto wenye MAMBA wakali....Lol.Na bbaado

Mkuu....

hakuna msiba usio na mwenzake, Mr Bean [Wenger] na "Sir fungus on" saa hii wanapeana vi-sms vya nafuu maana wamelazwa wote wadi ya majeruhi wa FA

poleni
 
Haya nimepata salamu zako unasemaje? Huyu Berba naye ni waste of money bora wamuuze yeye na Ronaldo aletwe Kaka.

The saddest part ni kwamba Berba amelipiwa pesa nyingi mno... hajitumi na hakuonyesha kusikitikia quality ya penalty yake

Labda ni upungufu wa ari ya mchezo; he is totally different from hungry plaers like rooner, ronaldo au teves

ONE DOWN TWO TO GO........ KAAZI KWELI KWELI
 
This must be how Arsenal fans feel, but again Arsenal wameshazoea so kwao sio big deal!!
 
Mkuu....

hakuna msiba usio na mwenzake, Mr Bean [Wenger] na "Sir fungus on" saa hii wanapeana vi-sms vya nafuu maana wamelazwa wote wadi ya majeruhi wa FA

poleni
Mbona Benitez kashazikwa afadhali ya hao waliolazwa,then usitufananishe na Arsenal kabisa hao wasindikzaji misimu 4 yote wanagombania nafasi ya 4
 
Frankly speaking, Man U mmesimama imara katika mechi hii. Nawaombea mfungwe ili tupate kibonde fainali hehehehe
Haya MUNGU amesikia dua yako tumewapa Everton but tatizo lenu nyie mechi za fainali hamziwezi last season mlifungwa fainali 2 hata sasa mnaomba Arsenal watutoe ili muingie nao na hiyo beki yenu ilivyokuwa nyanya hilo kombe mnaweza kulikosa
 
Kwenye haya makombe ya mtoano hamna timu inayoweza kujifanya inayajulia makombe. Kwenye mtoano ni kama kumchinja kobe tu ..inahitaji timing na kuwahiana tu. Mnakumbuka mwaka jana FA zimekuja fainali timu za mchangani, Portsmouth sikumbuki sijui na akina nani wale. Ndo maana wajuzi wa mambo wanaziita cup tie, yaani ni mbinu na ghasia za kuwahiana..na timu inayoshinda sio in terms of tecnix ..

Kimsingi Mi naamini timu iliyobora UK ni ile iliyopo kileleni mwa premiership, na tukisema ligi iishe ghafla dakika hii, kidume si kingine bali FC MANCHESTER UTD..

Habari ndio hiyo..!
 
Kimsingi Mi naamini timu iliyobora UK ni ile iliyopo kileleni mwa premiership, na tukisema ligi iishe ghafla dakika hii, kidume si kingine bali FC MANCHESTER UTD..

Habari ndio hiyo..!
teh teh teh...

Nacheka ki-Chelsea mie.


Jipe moyo mpwa!
 
teh teh teh...

Nacheka ki-Chelsea mie.


Jipe moyo mpwa!

Kumbe na wewe huwa unachekaga mkuu? Bwa ha ha ha..Makombe ya mbuzi hayana formula haya mkuu..baada ya fainali usije ukalala mapema au ukataka kufanya upgrade ya software ya JF,mkuu usiyeonekana... :D :D
 
...Makombe ya mbuzi hayana formula haya mkuu..baada ya fainali usije ukalala mapema au ukataka kufanya upgrade ya software ya JF,mkuu usiyeonekana...
Duh,

Kumbe Man U huwa mnashiriki hata makombe ya Mbuzi? Hehehe ama kweli kufungwa kubaya! Soon utatwambia 'Kombe la Mbuzi' la UEFA nalo si lolote!

Ukiona tumefungwa nikakaa kimya namaanisha nakubali matokeo na naugulia maumivu.

teh teh teh teh

:D
 
Kumbe na wewe huwa unachekaga mkuu? Bwa ha ha ha..Makombe ya mbuzi hayana formula haya mkuu..baada ya fainali usije ukalala mapema au ukataka kufanya upgrade ya software ya JF,mkuu usiyeonekana... :D :D

Heee!!! sasa FA CUP lishakuwa kombe la mbuzi? baniani mbaya..., kiatu chake dawa!!!! :confused:
 
sikujua kuwa mzee fegasoni ana uwezo wa kupiga tizi,wadau jana mlimuona alivyoruka ruka na ku shauti wakati anadai penalti kipindi cha pili na refa akamtolea nje? wallah hapo ndo niligundua mzee mzima kachanganyikiwa na kujuta kwa nini kina runi hakuwapanga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom