F.b.i na hii nayo wamechora?

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
Patient invoice.JPG


View attachment 90637View attachment 90638
hiyo juu ni picha ya mtuhumiwa mmoja wapo wa milipuko ya boston na hii ya chini ndo yetu waliowaachia wazee wa kazi.
 
ya miripuko ya boston wamechukua kumbukumbu za video kutoka kwenye camera walizosambaza katika kila kona ya miji yao(kama ilivyo kawaida kwa nchi zenye maendeleo)wala hawakuchora!!!!!!!!!!
 
Patient invoice.JPG
Hii ni ya kenya mwenye ya kwetu inakuaje atuwekee hapa nayo tuone na Uganda pia tuzione zinakuaje kweli safari ni safari hata kwa miguu safari ni safari!!!!
 
Back
Top Bottom