Ezekiel Wenje ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa na Mjumbe wa Kamati Kuu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Kwa wasiomfahamu vizuri mh Ezekiel Wenje ni kwamba:

Wenje ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa

Wenje ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema

Wenje ni Mbunge wa zamani wa Nyamagana

Wenje ni Waziri kivuli wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu

Kanda ya Ziwa ndio ina idadi kubwa ya Wapiga kura

Sauti ya Wenje ni Sauti ya Kanda ya Ziwa

Mkesha Mwema wa Pasaka!
 
ONGEZA
Wenje ni Mkenya
 
Back
Top Bottom