Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 615
Comrade umefail welcome again
Wadau wana JF, nimetafakari ukubwa wa Wizara ya Mali Asili na Utalii halafu nikaangalia usimamizi wake nikaona iko chini ya Waziri mmoja Ezekiel Maige bila naibu. Lakini kuna wizara zingine ndogo sana kama Wizara ya Jinsia na Watoto au Habari na Utangazaji zote zina Waziri na Naibu Waziri. Ingawaje wizara hizi zingeweza kuwa idara tu kwenye wizara zingine. Je JK ana kusudia nini kumuachia Waziri mwenye profile ya Ezekiel Maige dubwana kama hilo? Tunaweza tukawa tunamlaumu bure bwana Maige
Huyo jamana wako karibu sana na JK, inasemekana kwa kuwa alikuwa naibu pale, aliomba mwenyewe kwa JK asipewe naibu... nadhani kuna midili yao walitaka ipite bila kele kama za akina Ndungu na Mvutakamba, Chani na Nyarandu

Tena wanipendekeze mimi niende kumnyongaKamtetee kwa baba mwanaasha sio hapa jamvin usituletee uchuro yeye ni mmoja wapo anae takiwa kunyongwa kwanza mwambie anunue Kamba ya kazi hiyo
Wadau wana JF, nimetafakari ukubwa wa Wizara ya Mali Asili na Utalii halafu nikaangalia usimamizi wake nikaona iko chini ya Waziri mmoja Ezekiel Maige bila naibu. Lakini kuna wizara zingine ndogo sana kama Wizara ya Jinsia na Watoto au Habari na Utangazaji zote zina Waziri na Naibu Waziri. Ingawaje wizara hizi zingeweza kuwa idara tu kwenye wizara zingine. Je JK ana kusudia nini kumuachia Waziri mwenye profile ya Ezekiel Maige dubwana kama hilo? Tunaweza tukawa tunamlaumu bure bwana Maige
Kazi ni wajibu, tungeona mazuri mengi halafu mengine mabaya yangetusaidia kujua mzigo alionao. hata mi sikubali uzembe na ubinafsi usihalalishe matumimizi mabaya ya madaraka, hakuna kulala mpaka wamenyoka, tumechoka kusikia nyimbo zao kwa tune mpya content ya zamani.