M m0h4mm4d Member Jun 17, 2011 7 0 Jun 19, 2011 #1 Eyy ! Hello there .. Yaani nilikua ile nataka kujitambulisha ! Si mnajua tena new tech nini .. So nawapa hello members
Eyy ! Hello there .. Yaani nilikua ile nataka kujitambulisha ! Si mnajua tena new tech nini .. So nawapa hello members
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Jun 19, 2011 #3 Karibu sana......ningependa kukukaribisha kwa kutamka jina lako lakini nimeshindwa.....hivi unatamkaje tena.....
Karibu sana......ningependa kukukaribisha kwa kutamka jina lako lakini nimeshindwa.....hivi unatamkaje tena.....
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Jun 19, 2011 #4 Preta said: Karibu sana......ningependa kukukaribisha kwa kutamka jina lako lakini nimeshindwa.....hivi unatamkaje tena..... Click to expand... Habari yako bana? Ndo nini kumtosa skulmate? Lol... Hata siamini.
Preta said: Karibu sana......ningependa kukukaribisha kwa kutamka jina lako lakini nimeshindwa.....hivi unatamkaje tena..... Click to expand... Habari yako bana? Ndo nini kumtosa skulmate? Lol... Hata siamini.
AshaDii Platinum Member Apr 16, 2011 16,190 18,080 Jun 22, 2011 #8 Aisee jina gumu kweli... Karibu saana.