Mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya izingatie kupandisha vyeo Makatibu Tawala na Makatibu Tarafa, isiokoteze watu kiholela

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,417
11,068
Hello hello JF,

Utii na heshima kwa Jamhuri ni pamoja na katika jambo lolote kuambatanisha ujumbe wenye maudhui yaliojaa lugha ya utii, heshima na unyenyekevu mkubwa iwe ni katika kukubali au kukataa jambo lolote.

Uteuzi wa wakuu wa wilaya ufuate utamaduni wa consultations, ama kupandisha vyeo kiuweledi. Msaidizi wa Mkuu wa wilaya ni Katibu tawala wa wilaya. Je, kwanini mamlaka haithamini kupandisha vyeo hao Katibu tawala kuwa wakuu wa wilaya?

Kama vijana wenu wa UVCCM tena wenye degree na masters ni makatibu tawala wilaya na hamna imani nao hadi mnaokoteza okoteza watu hilo si jema, acheni kufedhehesha vijana wenu.

Malezi ya CCM Kwa vijana wake yanadhiri wapi, ok sawa haki kwa wote sawa basi fanyeni consultations na hao watu wakubali au wakatae behind the scene. Watu ambao hawajahumu ukaribu tawala au tarafa wanaogopa ukuu wa wilaya una lawama, fedheha yaani kila kitu.

Wapeni akina kasesela na etc wakatumikie nchi.

Pascal Mayalla umekuwa ukiwashauri Kwa bidii sana CHADEMA, hauna chochote cha kuongezea hapa?
 
Hello hello JF,

Utii na heshima kwa Jamhuri ni pamoja na katika jambo lolote kuambatanisha ujumbe wenye maudhui yaliojaa lugha ya utii, heshima na unyenyekevu mkubwa iwe ni katika kukubali au kukataa jambo lolote.

Uteuzi wa wakuu wa wilaya ufuate utamaduni wa consultations, ama kupandisha vyeo kiuweledi. Msaidizi wa Mkuu wa wilaya ni Katibu tawala wa wilaya. Je, kwanini mamlaka haithamini kupandisha vyeo hao Katibu tawala kuwa wakuu wa wilaya?

Kama vijana wenu wa UVCCM tena wenye degree na masters ni makatibu tawala wilaya na hamna imani nao hadi mnaokoteza okoteza watu hilo si jema, acheni kufedhehesha vijana wenu.

Malezi ya CCM Kwa vijana wake yanadhiri wapi, ok sawa haki kwa wote sawa basi fanyeni consultations na hao watu wakubali au wakatae behind the scene. Watu ambao hawajahumu ukaribu tawala au tarafa wanaogopa ukuu wa wilaya una lawama, fedheha yaani kila kitu.

Wapeni akina kasesela na etc wakatumikie nchi.

Wadiz
Chawa wa mtaani mnakera sana yani. Kwa nni msiende kulima?
 
Wewe mwenyewe afisa tarafa, uliokotezwa huko
 
Hata kama watakujibu na kureply kwa kejeli ila umeongea ukweli. Hii ndio njia sahihi ya kupata viongozi wenye mtazamo na utendaji mzuri kuliko kuokoteza watu barabarani. Hii hata kwa UDED waangalie namna ya kuteua na sio kuokoteza wauza mitumba mtaani na kuwapa uongozi.
 
Hello hello JF,

Utii na heshima kwa Jamhuri ni pamoja na katika jambo lolote kuambatanisha ujumbe wenye maudhui yaliojaa lugha ya utii, heshima na unyenyekevu mkubwa iwe ni katika kukubali au kukataa jambo lolote.

Uteuzi wa wakuu wa wilaya ufuate utamaduni wa consultations, ama kupandisha vyeo kiuweledi. Msaidizi wa Mkuu wa wilaya ni Katibu tawala wa wilaya. Je, kwanini mamlaka haithamini kupandisha vyeo hao Katibu tawala kuwa wakuu wa wilaya?

Kama vijana wenu wa UVCCM tena wenye degree na masters ni makatibu tawala wilaya na hamna imani nao hadi mnaokoteza okoteza watu hilo si jema, acheni kufedhehesha vijana wenu.

Malezi ya CCM Kwa vijana wake yanadhiri wapi, ok sawa haki kwa wote sawa basi fanyeni consultations na hao watu wakubali au wakatae behind the scene. Watu ambao hawajahumu ukaribu tawala au tarafa wanaogopa ukuu wa wilaya una lawama, fedheha yaani kila kitu.

Wapeni akina kasesela na etc wakatumikie nchi.

Wadiz
Hata kama ni incompetent? Hawana wanachoongeza zaidi ya kuwa kwenye payroll?
 
Back
Top Bottom