EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Wakuu habari zenu
Naomba mwenye ramani ya nyumba, ambayo ni ya wastani, au ndogo lakini inayovutia yenye vitu vifuatavyo
-Vyumba viwili vya kulala pamoja na master self
-Sitting na dinning room
-Choo cha ndani cha public
-jiko na store
-Varanda mbili
Asanteni na nawasilisha
 
Katika plot ya 20x20 ili mchoro ufiti, inabidi kutoa setbacks pande zote za plot kutegemea na standards zilizopo mipango miji ya eneo husika, eneo linalobaki ndo design huandaliwa. Ukubwa wa vyumba mpaka nyumba yenyewe huzingatia size ya plot na mahitaji husika
 
Hata Mimi nahtaj sana Raman lkn nataka ya vyumba vitatu kimoja kiwe master....mdau hapo ntaku pm soon
 
ACCameraernest.jpg wasiliana nasi 0654003555 Doltu architect,kupata ramani utakayo ipenda pamoja na ushauri katika ujenzi
 
Vyumba vitatu, viwili, kimoja, vitano mmmmh mpaka bangalooh zipo
 
Wow! Shangilia piga kelele, hatuhesabiwi makosa, tumekombolewa kwa damu ya Yesu, hatuko chini ya sheria, tuko huru; tunahesabiwa haki kwa damu ya Yesu, warumi 3:24-26. Pasaka njema!
 
Vitu halisi hapa hakuna vya internet, njoo ujinyakulie michoro ukajenge. Vijumba vizuri sana. Kiwanja kilichopimwa na kisichopimwa design zinapatikana
 
Ramani ndogo za nyumba vyumba viwili au vitatu, na hata gorofa tupia sms whatsapp 0787-459-850. Michoro itajumuisha
1.Floor plan,
2.Detailed design,
3.Roof plan,
4.Section plan,
5.Elevation 2D,
6.3D computer model view,
7.Sewage sytem

Safi sana...nowdays archtects wapo wengi sio kama zamani...!
 
Back
Top Bottom