Ewura mnafanya nini?

Ima R.

Member
Oct 10, 2011
45
5
Hali zenu wana JF. Jamani ewura kazi yenu inawahusu wafanya biashara tuu au pamoja na abiri? Leo kutoka mwenge kwenda tegeta, kunduchi, africana ni Tsh 1000 cash. Sasa mbona serikali haineni?
Nawasilisha.
 
Wako busy wanasherehekea miaka 50 ya uhuru. January wataanza kuhudumia wananchi,vuta subra ndugu
 
Back
Top Bottom