Elections 2010 Every vote counts!! Kuweka waangalizi vituo vyote vya uchaguzi

MWEEN

JF-Expert Member
Feb 6, 2010
482
207
Wakuu,

Naomba kutoa hoja kwa vyama vya upinzani. Kuna majimbo mengi ambayo upinzania haukuweza kuweka mgombea, kuanzia ngazi ya udiwani, na ubunge. Hasa kwenye majimbo ambayo wamesema wamepita bila kupingwa.

Kuna uwezekano mkubwa watu wengi wakamchagua mgombea wa upinzani wa uraisi, na hapa ndipo upinzani hautakuwa na wasimamizi. Pia ni wazi kuwa vyama vitaangalia zaidi kwenye vituo walivyoweka wagombea, na kusahau kule wasikokuwa na wagombea.

CHADEMA, CUF, etc. Kuna mkakati gani wa kutuma waangalizi kwenye vituo hivyo??? Every vote count!!!
 
Kichwa chako cha habari kiliashiria unao mkakati kumbe nawe umeghafilika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Vituo vya kupiga kura ni zaidi ya 52, 0000 mengine ni Mwenyezi Mungu tu ndiye atakayetusaidia
 
Wakuu,

Naomba kutoa hoja kwa vyama vya upinzani. Kuna majimbo mengi ambayo upinzania haukuweza kuweka mgombea, kuanzia ngazi ya udiwani, na ubunge. Hasa kwenye majimbo ambayo wamesema wamepita bila kupingwa.

Kuna uwezekano mkubwa watu wengi wakamchagua mgombea wa upinzani wa uraisi, na hapa ndipo upinzani hautakuwa na wasimamizi. Pia ni wazi kuwa vyama vitaangalia zaidi kwenye vituo walivyoweka wagombea, na kusahau kule wasikokuwa na wagombea.

CHADEMA, CUF, etc. Kuna mkakati gani wa kutuma waangalizi kwenye vituo hivyo??? Every vote count!!![/
Meneja wa Kampeni wa Chadema anafaa kutujuza wana mikakati gani kwenye maeneo tajwa.Jambo hili ni la muhimu sana katika kulinda kura maana kutikuwapo kwa mawakala kunatoa nafasi ya uchakachuaji wa kura.Ni imani yangu Chadema na vyama vingine wanalielewa hii.
 
kINACHOTAKIWA NI KUWEKA WAKALA HATA KAMA NO MBUNGE NA DIWANI BASI ATALINDA KURA ZA RAIS NI MUHIMU SANA.
 
Back
Top Bottom