Lara 1 usiku mmoja laki 5.
Jipange tu mkuu,
Evelyn nampendagaHx
Heaven on Earth ana chura
Duu mwanangu unajitia wazimu kisa picha tu ukiona papauchi si utaimba alimserema kbsaBORA TU HUU UZI UMELETWA HAPA HUWA ANAIENDESHA DUNIA YANGU MPAKA BASI
Duu mwanangu unajitia wazimu kisa picha tu ukiona papauchi si utaimba alimserema kbsa
MmmmmhNiliambiwa Evelyn Salt ana sifa zifuatazo:
1) Ni toto la kisukuma
2) Ni mwalimu mzuri
3) Ana Chura/ Mkia wa Ukweli.
4) Yuko very open kama anavyocomment huku.
Anafaa sana kwa kuoa na kula
Miss chagga:-
1) Roho safi...hata ukimtukana asubuhi mpaka kesho asubuhi hachukii anapotezea tu
2) Hana mkia kabisaaa
3) Anapenda pesa sana
Anafaa sana kwa kuoa ukiwa na pesa (ikiwa mkia sio first priority kwako)
Kwahiyo kukupa hiyo taarifa ndio kutokujiamini?HAKUNA MWANAMKE EXPENSIVE NI WEWE TU LAKI TANO ? $250 ? KWA KIPI SPECIAL ? UNALOWEKA HIYO KITU MULE ? MWANAUME JIAMIN
Hizo sifa ulizopewa ni za kweli?Mmmmmh
Sio wa nigeria hawa?...naona kama mmoja kashika bendera ya nigeria hivi
Kwan hapa kuna Mademu wa Bure mpaka Tuvute Hisia...............? Ngoja nianze kuvuta Hisia Kwa Beyonce mkuuKwa mtazamo wangu hawa nathubutu kusema ni ma-super star wa MMU, tuwatathamini kwa mada au comment zao nani mkali zaidi ya mwenzake, kwa men unaruhusiwa kuvuta hisia kwa kupima comment zao nani mtamu zaidi ya mwengine.
Haya ni mawazo tu jameni musijenge chuki.
We unamkubali mod gani?
Maxence Mello namkubali pia japo nina kesi naeMaxence yupo poa.
Cookie ana msaada zaidi.
Invisible pia.