Evelyn salt Vs Heaven on Earth, miss chagga Vs miss neddy

Miss Natafuta hua nacheka sana comments zake.... ....Mungu akupe maisha marefu dadangu ...
 
Niliambiwa Evelyn Salt ana sifa zifuatazo:

1) Ni toto la kisukuma

2) Ni mwalimu mzuri

3) Ana Chura/ Mkia wa Ukweli.

4) Yuko very open kama anavyocomment huku.

Anafaa sana kwa kuoa na kula

Miss chagga:-

1) Roho safi...hata ukimtukana asubuhi mpaka kesho asubuhi hachukii anapotezea tu

2) Hana mkia kabisaaa

3) Anapenda pesa sana

Anafaa sana kwa kuoa ukiwa na pesa (ikiwa mkia sio first priority kwako)
Mmmmmh
 
Kutoka kushoto ni Miss Neddy, miss chagga, Heaven on Earth, Evelyn Salt

Natumai nimetii kiu yako...

2.jpg
Sio wa nigeria hawa?...naona kama mmoja kashika bendera ya nigeria hivi
 
Hapa kuna gere...sjaona level ya kubwa la maadui...LARA 1...simply..she'z amazing!
 
Kwa mtazamo wangu hawa nathubutu kusema ni ma-super star wa MMU, tuwatathamini kwa mada au comment zao nani mkali zaidi ya mwenzake, kwa men unaruhusiwa kuvuta hisia kwa kupima comment zao nani mtamu zaidi ya mwengine.

Haya ni mawazo tu jameni musijenge chuki.
Kwan hapa kuna Mademu wa Bure mpaka Tuvute Hisia...............? Ngoja nianze kuvuta Hisia Kwa Beyonce mkuu
 
Maxence yupo poa.
Cookie ana msaada zaidi.
Invisible pia.
Maxence Mello namkubali pia japo nina kesi nae

Invisible nilikua namkubali sikuhizi anachukua muda kutatua shida au sanyingine asijibu kabisa simuelewi

Hua nakimbilia kwa Max au AshaDii nisipopata msaada wa haraka kwa Invisible. Ila ni watu poa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom