Eurostar + Startimes

Aswel

Senior Member
May 1, 2012
114
34
Heshima kwenu wakuu, naomba kuuliza hivi unaweza kutumia king'amuzi cha startimes kwa kutumia hizi satelite dish za kawaida kama eurostar yenye LNB ya KU au C- band kwa sisi ambao hatujafikiwa na mtandao wao? naombeni mchango na maujanja yenu wakuu.
nawasilisha.
 
asante mkuu kwa maelezo yako, je vip nikiwa na dish la supersport naweza tumia king'amuzi cha startimes?

Hauwezi pia sababu wanatumia mifumo tofauti
Startimes hawatumii setelaiti kurusha na kupoke mawimbi
 
Back
Top Bottom