Etii kweli watz wengi wanaangalia chama kwa imani yao ya dini?

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
nilimsikia Tambwe hiza ktk kipindi cha Tanzania inapoelekea kilichorushwa na Star tv akisema hapa tz watu wengi sasa wanaamini Chama chochote ambacho kitaonekana kina harufu ya dini fulani akaitaja islam, vyombo vya habari, na baadhi ya watu huona kama tishio na hupigwa vita . Licha ya kutaja chama aliimanisha Cuf na kwa upande mwengine chama ambacho huwa na harufu ya dini ya Christian huonekana ni chama cha kikombozi hapa alimaanisha Chadema. Mtizamo huu aliendelea kusema Mh Tambwe kwamba unaifanya baadhi ya watz kuona ni ubinafsi, unafiki na hatari kwa maisha.
Jee Mh Tambwe anahoja za msingi au ndio yule yule mzee wa Propaganda?
 
He needs to see a doctor!
Achana na watu wenye fikra finyu kama yeye. Hawa ndio wale itakapokuja ile siku na saa CCM inaanguka nao ndio mwisho wa maisha yao. Siku hiyo inakuja
 
nilimsikia ...... Mtizamo huu aliendelea kusema Mh Tambwe kwamba unaifanya baadhi ya watz kuona ni ubinafsi, unafiki na hatari kwa maisha.
Jee Mh Tambwe anahoja za msingi au ndio yule yule mzee wa Propaganda?

Tambwe ni Mh? Tangu lini? au ndiyo mwendelezo wa ukwezaji wa watu. mf. Dr. Jk, Dr. matunge, & so forth??
 
Back
Top Bottom