Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Jando haihusiki sana kwenye mahusiano, ila kwa anae tafuta mzungu inaweza kua starting point kwanza.
kama hana shida na hayo ndio aendelee sasa kutafuta. lol
Mi nimesha toa maoni yangu kuhusu wanaume wazungu na weusi.

Inahusika na kitu gani sasa?
 
A good man handles himself comprehensively(and i mean every sense of the word),his lady(not women),his family,his work,his liquor etc.I stand by this code niwe mzungu,mchina,mwafrica,mhindi,mwarabu n.k.
A real man doesn't need a certain race to prove himself worthy..Make me eskimo or bushman i'll still be a good man.
If there are ladies out there who still believe in race as a criterion for that little 'Mr Perfect' then doomed they are.
 
...dont believe everything you read kwenye jf bana....wengine wanakuja wamwevimbisha vifua hapa
nyuma ya pazia hawafurukuti kwa wake zao....wanapangiwa na zamu ya kukosha vyombo baada ya mlo...

...usiwe na makuu kwenye uchaguzi. Jikubalishe kwa yule mnayeendana kitabia...kisha m- mould unavyotaka
maisha yenu yawe....samaki mkunje angali mbichi,...ukijitia kumpa mwanaume wako screwdrivers zote ni kosa lako
mwenyewe...
umeolewa muwe familia, sio uwe yes sir!

Exactly...sasa Lizzy hawa ndo wale wachache niliokuwa nasema,usipo accept defeat waweza wabahatisha....lolest!

...LOL...afadhali unalitambua hilo...
huo uchafu ni hulka za mtu bana...yuk!
mtu arudi kalewa na mitapishi yake, mijasho kisha analala kitandani na mke anamvua nguo na kumkogesha?
na nyie wanawake mmezidi...

...wazungu wao hutumia zaidi wipes badala ya kukoga, kisha kuna walevi mbwa pia na chain smokers....
sijui tabia hii mnaichukuliaje? ndio mana nasema uchafu ni tabia ya mtu!

Uchafu ni tabia ya mtu kweli,wajua tena maisha yetu Mbu na hali ya hewa....tupunguziane kero...una chumba kimoja na sebule....unakuja umelewa mi nikalale sebuleni?? Jenga vyumba vya kutosha,weka mlinzi wako, ukirudi kalale mwenyewe kama kuoga huwezi.....sasa hili ndo hamlielewi vyema weusi wangu...lol
 
Hhhm sasa nashangaa jando dearest. Waweza niambia ni kitu gani haswa? Maana naona kama nilichodhani sicho.

Jandoni navyojua wavulana hutahiriwa na kupewa mafunzo fulani fulani ya namna ya kuenenda,kuishi na watu including mahusiano na wanawake na wajibu wao kwenye jamii.....!
 
Mwali umetoa mifano ya watu wawili...wanne, kwenye kila race hawatakosekana walio tofauti na ndo nilichomwambia Lizzy, hata kwa weusi wapo wenye sifa hizoi ...ila ni wachache mno...nimebahatika kuishi nchi tatu tofauti kwenye mabara matatu tofauti, wanaume wa namna hiyo ni wa kubahatisha sana Africa...pita bar usiku uone,wale ni kina baba wanaokaa kule hadi wanaomba wenye bar waongeze muda...kwa starehe wanaume wa kiafrica maskini na matajiri ndo wenyewe....watakuachia 5000 kila asubuhi kwa ajili ya matumizi ya familia,ataspend 50,000 kwa bia na rafiki zake na offer kwa barmaids.....!!
Point yangu ni kwamba mazingira yenyewe ya Afrika ndio shida, wala sio rangi ya ngozi. sometimes huyu huyu Mwafrika ukimpeleka mazingira fulani anageuka, na yule mzungu akipelekwa mazingira fulani anabadilika pia.
Angalia vizuri utakuta wanaume wenye kucheat (wazungu au weusi) wanafanana fanana kitabia. Na wale wasio cheat wanafanana pia. na ukijaribu kuchunguza zaidi unaweza kukuta kua vigezo vya kuvanana vinahusisha familia waliko toka, mji wanao ishi, kiwango cha usomi, kiwango cha pato, uhusiano na familia baada ya ndoa, uhusiano na rafiki zake baada ya ndoa etc.
Ogopa emerging class... kuna research (in various continents) inaonesha kabisa kua emerging class wanapenda kujionesha sana na kuspend pesa nyingi kwenye vitu vya imediate consumption kama magari ya kifahari, pombe, chakula na mavazi whereas masikini wanatumia pesa on primary needs na middle class family wanatumia on long term investment kama financial investment, nyumba na viwanja.
Hapo tayari umesha ona ni kina nani watakua likely kua na tabia za kijinga.
Sasa Afrika hiyo emerging class ni kubwa kuliko ulaya, na ndio maana huku wengi wanakua na tabia hizo. sio rangi ya ngozi, ni mazingira tu.
 
Lol, mshangae Mwali sasa....mwache Husninyo atafute mdhungu wake....lol
Kama anataka mzungu hakuna shida, kila mtu na taste yake... Mi namwambia tu akae akijua, jamaa wengi ni mikono ya sweta
 
A good man handles himself comprehensively(and i mean every sense of the word),his lady(not women),his family,his work,his liquor etc.I stand by this code niwe mzungu,mchina,mwafrica,mhindi,mwarabu n.k.
A real man doesn't need a certain race to prove himself worthy..Make me eskimo or bushman i'll still be a good man.
If there are ladies out there who still believe in race as a criterion for that little 'Mr Perfect' then doomed they are.
Kaka nimefurahi kukusoma. Umeoa?
 
Inahusika na kitu gani sasa?
unazungumzia kutengenezwa kimwili au kiakili mwali?
mitaines-recuperation-manches-de-pull-004.jpg
 
Point yangu ni kwamba mazingira yenyewe ya Afrika ndio shida, wala sio rangi ya ngozi. sometimes huyu huyu Mwafrika ukimpeleka mazingira fulani anageuka, na yule mzungu akipelekwa mazingira fulani anabadilika pia.
Angalia vizuri utakuta wanaume wenye kucheat (wazungu au weusi) wanafanana fanana kitabia. Na wale wasio cheat wanafanana pia. na ukijaribu kuchunguza zaidi unaweza kukuta kua vigezo vya kuvanana vinahusisha familia waliko toka, mji wanao ishi, kiwango cha usomi, kiwango cha pato, uhusiano na familia baada ya ndoa, uhusiano na rafiki zake baada ya ndoa etc.
Ogopa emerging class... kuna research (in various continents) inaonesha kabisa kua emerging class wanapenda kujionesha sana na kuspend pesa nyingi kwenye vitu vya imediate consumption kama magari ya kifahari, pombe, chakula na mavazi whereas masikini wanatumia pesa on primary needs na middle class family wanatumia on long term investment kama financial investment, nyumba na viwanja.
Hapo tayari umesha ona ni kina nani watakua likely kua na tabia za kijinga.
Sasa Afrika hiyo emerging class ni kubwa kuliko ulaya, na ndio maana huku wengi wanakua na tabia hizo. sio rangi ya ngozi, ni mazingira tu.

Thats a very good and critical analysis Mwali, nimekusoma, nimekuelewa vizuri....thank you!
 
Thats a very good and critical analysis Mwali, nimekusoma, nimekuelewa vizuri....thank you!
Kwa hiyo nimeweza kukuconvince kua rangi sio critera? Hata kama ukiulizwa point kuhusu swali hili huwezi kusema kua weusi wameku disapoint, itakua kwa sababu zingine tu?
 
Back
Top Bottom