Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
Wapo dada zetu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mapenzi ya kweli na ya kina kama ya na mzungu.
...najua Lizzy atagomba nilivyo mkabila, lakini kuna baadhi ya makabila toka mikoa ya magharibi na kaskazini mwa inji hii kuolewa na mzungu kwao ni bonge la ujiko! ...hawa watu hovyo kabisa, haswa wazungu wa uingereza!