Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

me naamin kitu kimoja, wanaume wote haijalishi race, kabila, umbo wote sawa baba mmoja, mama mmoja tena shangaz yao kafariki hivyo wa kufunda hayupo
 
Mzee Mwanakijiji;Wapo dada zetu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mapenzi ya kweli na ya kina kama ya na mzungu.

Mkuu MM,

unisamehe kweli sijaelewa unamaanisha nini, hao dada zetu ni walio nchini au nje ya nchi? Fafanua tafadhali.
 
Wazungu ni wakweli, wawazi, wanajali na sio wabinafsi kinyume na kaka zetu weusi. Mi ndio maana nimeamua kwamba sasa hivi waswahili sitaki tena.

dearest kwa maoni yangu wazungu ni wabinfsi sana,wengine ni wanyama kabisaa....kanyaga tu taratibu na uwe na malengo sahihi na wao na ujiandae kwa lolote....hawa kaka zetu wengi, tatizo lao ni kuendekeza starehe na kukosa vipaumbele kwenye maisha....
 
Hizi ni miongoni mwa mada ambazo ni ngumu kuchangia....

Hata hivyo, kila mtu anakuwa na mtazamo fulani kutegemea na mazingira + makuzi!

Tuwatakie kila la heri wote wanaotamani kutimiza ndoto zao!!
 
unajua zamani Dar ukikuta mdada wa kiswahili na mzungu
mostly walikuwa madada wa 'margot'
kiasi kwamba mimi nilikuwa nasikia kinyaa tu nikiona mdada mswahili yuko na mzungu
imeniathiri mpaka leo
 
Kwa manufaa ya kizazi cha sasa manake umesema zamani ukikuta......madada wa margot ndo wapi hao?

Unawaonaje wadada walio na mahusiano na wazungu?
 
I would rather opt to remain Lawino here!
Mzungu, labda kuonja tu kama karanga lakini si main course.
 
Kwa manufaa ya kizazi cha sasa manake umesema zamani ukikuta......madada wa margot ndo wapi hao?

Unawaonaje wadada walio na mahusiano na wazungu?

maeneo ya posta kulikuwa na night club inaitwa 'margot'
ilkuwa maarufu kwa wazungu mabaharia na wadada wa kujiuza zamani
hapo tu ndo palikuwa kama kituo cha wadada wanaojiuza na kukutana wazungu..
so ilikuwa maarufu dada yeyote anaejiuza anaitwa wa 'margot'
hata kama hakujui huko 'margot'
 
Hizi ni miongoni mwa mada ambazo ni ngumu kuchangia....

Hata hivyo, kila mtu anakuwa na mtazamo fulani kutegemea na mazingira + makuzi!

Tuwatakie kila la heri wote wanaotamani kutimiza ndoto zao!!

Kweli kabisa Babu DC, binafsi nawaona wenye hila tu,yaani waga wana sababu zaidi ya LOVE kuwa na msichana mweusi including utumwa wa aina fulani,...!!
 
uzuri wazungu wako liberal sana kwenye matumizi ya 'mitandao' mbalimbali, so just brace yourself up galz
 
maeneo ya posta kulikuwa na night club inaitwa 'margot'
ilkuwa maarufu kwa wazungu mabaharia na wadada wa kujiuza zamani
hapo tu ndo palikuwa kama kituo cha wadada wanaojiuza na kukutana wazungu..
so ilikuwa maarufu dada yeyote anaejiuza anaitwa wa 'margot'
hata kama hakujui huko 'margot'

Thanks, sasa The Boss....wangekuwa wanajiuza kwa mabaharia weusi ingekuwa sawa.....

natafuta kujua kwanini kuwa kwao na wazungu kulikuathiri? walikuwa wanawakataa nyie,wana prefer wazungu??
 
asante,
kwa kweli ni hila tu
hasa mambo ya cheap labour
na kutumia atakavyo bila masharti

wanakula hadi hazina ya taifa, kizazi kijacho watajibeba.

Back
Top Bottom