Eti.. Wanaume wenzangu na hili huwa mnasamehe?

Sasa unataka ufanyejeee mana mama ameona madhaifu yako imebidi awahi pahala ila anakuheshimu mvalishe nguo mwambie twende nyumbani
Mpe mikato mizuri ndio mana akaondoka kwao kaja kwako alafu unalalamika
 
Back
Top Bottom