Eti.. Wanaume wenzangu na hili huwa mnasamehe?

Mim kuna demu mmoja nilimfuma na rafiki yangu wa damu kabisa, nikawa sina jinsi kuachana na mshkaji haiwezekani no way out, demu akasema nawapenda wote, nikasepa then ikabidi nikubali matokeo, sasa hivi mim nipo na mshkaji tunamtunza demu mmoja na tunamlinda vilivyo leo nikila mzingo mwenzangu nae anakuja kula wiki ijayo tunampago wa kuja kumuoa tumweke ndani!

Ila kidemu ni kiaminivu wote 3 tuna share kila kitu kuanzia bank card, uzuri mmoja hawaijui jf wao ni instagram na fb, twiter,snap
Good boy. Pata kinywaji hapo ulipo kwa bei yoyote kwa bill Yangu.
 
Mim kuna demu mmoja nilimfuma na rafiki yangu wa damu kabisa, nikawa sina jinsi kuachana na mshkaji haiwezekani no way out, demu akasema nawapenda wote, nikasepa then ikabidi nikubali matokeo, sasa hivi mim nipo na mshkaji tunamtunza demu mmoja na tunamlinda vilivyo leo nikila mzingo mwenzangu nae anakuja kula wiki ijayo tunampago wa kuja kumuoa tumweke ndani!

Ila kidemu ni kiaminivu wote 3 tuna share kila kitu kuanzia bank card, uzuri mmoja hawaijui jf wao ni instagram na fb, twiter,snap
Sijawai ona toka nizaliwe
 
Ebana eeeh!!
Hii kali
 
Kusamehe inakuwaga ngumu labda akili iwe imewekwa kwenye chupa

KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI
 
Kwangu Mimi hiyo haina simile,atapewa talaka sio kwa shingo upande na Lundo la karate (Alexander Lou,John Lee na youn biao.)
Kwa maana kaamua kuwa Mama Huruma!

NB:
Mathayo 5:31-32
 
Mim kuna demu mmoja nilimfuma na rafiki yangu wa damu kabisa, nikawa sina jinsi kuachana na mshkaji haiwezekani no way out, demu akasema nawapenda wote, nikasepa then ikabidi nikubali matokeo, sasa hivi mim nipo na mshkaji tunamtunza demu mmoja na tunamlinda vilivyo leo nikila mzingo mwenzangu nae anakuja kula wiki ijayo tunampago wa kuja kumuoa tumweke ndani!

Ila kidemu ni kiaminivu wote 3 tuna share kila kitu kuanzia bank card, uzuri mmoja hawaijui jf wao ni instagram na fb, twiter,snap
hahahahahahaaaaa record ya gines
 
Nawauliza wanaume wenzangu maana huwa nasikiasikia tu,kuwa mtu kamfumania malkia wake live akitoa lile tunda, lakini wameyamaliza kiutu uzima! Hivi kweli au...Naomba nijue mapema ili namie nikioa nisishangae nikifanyiwa surprise km hii!!!!
Ukifumwa wewe achukue maamuzi yapi?
 
Back
Top Bottom