Eti wanaume wengi wataozea jela Kama Hili zoezi likifanyika

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,843
12,612
Waaslam wakuu!

Nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi zimekuwa donda sugu na kadri siku zinavyoendelea kusonga ndivyo nguvu zenyewe zinaendelea kupungua Tena kwa Kasi ya 5G.

Wanawake wengi walioko ndoani na wale ambao bado hawajaolewa wamekuwa wakililalamikia Hili suala na kwa kusema wanaume wa ckuiz wamekuwa legelege Sana kitandani Yaani hawapigi show za kibabe.
Kwamba wanaume wa siku hizi Ni wa Dali kimoko na wakijitahidi Sana viwili,Tena hicho cha pili wanakipata kea mbinde Sana😂

Sasa juzikati nilipita sehemu nikawasikia wanawake wakiliongelea Hili suala la upungufu wa nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi.
Sasa nikamsikia mwanamke mmoja akiwaambia wenzie eti Kuna zoezi Moja tu ambalo likijaribiwa kwa wanaume wote kuhusiana na hii ishu ya nguvu za kiume Basi bila Shaka wanaume wengi watafeli.Wenzie wakacheka wakamuuliza kwani zoezi gani Hilo analozungumzia.

Akasema Kama vipi wanaume wote wachukuliwe wapelekwe jela Ili kupima nguvu zao za kiume.
Yaani wanaume wote wawekwe nyuma ya nondo alafu kila mwanaume apewe mwanamke mmoja afanye naye mapenzi kwa kigezo Cha kufika mishindo mitatu ndo ataachiwa huru😂.
Yaani hapo alikuwa anamaanisha eti Kama mwanaume hatoweza kufika mishindo mitatu katika tendo la ngono Basi aendelee kufungwa jela mpaka ile siku atatusua hizo round 3 ndo ataachiwa huru.

Huyo bidada akawapia wenzie kwamba kwa jinsi wanaume wa ckuy walivyo mayai mayai kitandani Ni asilimia ndogo Sana ya wanaume watakaoweza kumudu hiyo mishindo 3 iliyowekwa Kama kigezo😂
Akasema yeye anaamini Ni asilimia 20 pekee ya wanaume ( marijali) ndo watashinda Hilo zoezi na asilimia 80 ya wanaume waliobaki wataozea jela coz hataweza kumudu hicho kigezo kilichowekwa.

Sasa nimefika ndani nikakaa chini nikalitafakari hili suala la kuhusiana na nguvu za kiume ndo nikaamua kuleta huu Uzi tuambizane ukweli Kama Ni kweli wanaume tumekumbwa na upungufu wa nguvu za kiume ama Hawa wanawake wanatutafutia vijisababu vya kuchepuka.

Maisha ya ckuiz yamebana Sana na wanaume wengi siku zote wapo mbioni kumhudumia familia zao,kwa hiyo stress,uchovu na mambo mengine yanaweza kuchangia katika upungufu wa nguvu za kiume bt licha ya hayo yote sidhani Kama Kuna mwanaume hapa JF anayeweza shindwa kufika mishindo mitatu katika tendo la ndoa/sex.

I hereby rest my case.
 
Viumbe hai tunafanana tabia.

Sex ni kwa ajili ya reproductions. Zingine mbwembwe tu.

Tazama viumbe hai wengine kama wanyama pori, mbwa, ng'ombe, paka je huwa wanachukua muda gani kwenye tendo na huwa wanapigana mabao mangapi ?

Uanaume sio kula papuchi saa lizima.
 
Wewe upo kwenye hiyo 80% usijali hakuna jela yote maisha
 
Mkuu huo ukakamavu na kugagamala navyo vipo applicable kwenye tendo la ngono.
And FYI, binadamu ndio viumbe pekee ambavyo hufanya sex for recreation/ starehe, Yaani sio kuzaana tu Kama ilivyo kwa species zingine.
Viumbe hai tunafanana tabia.

Sex ni kwa ajili ya reproductions. Zingine mbwembwe tu.

Tazama viumbe hai wengine kama wanyama pori, mbwa, ng'ombe, paka je huwa wanachukua muda gani kwenye tendo na huwa wanapigana mabao mangapi ?

Uanaume sio kula papuchi saa lizima.

Uanaume ni ukakamavu, ubishi, kugangamala kutimiza jukumu la kuhudumia na kutatua matatizo ya familia yako na jamii nzima. Na kuongoza jamii yako kwa usahihi.
 
Hakuna mahali kwenye Uzi wangu nisema nilikuwa nawasikiliza, nilikuwa tu napita zangu nikawasikia wakisema hayo, niliwapita kwa mbele kdgo wao wakawa wananifuata kwa nyuma na walikuwa wanaongea kwa sauti za juu
Ungewasikia sio kuwasikiliza. Unafikiri baba zetu walikuwa wakamilifu kama Wanavyodai na kulalamika siku hz kuwa vijana hawana nguvu. Hao ndio wale Leo kutombwer kesho kutombwer. Sio wa kuwa Zingatia.
 
Back
Top Bottom