Eti mliopata wapenzi JF.......

Hivi kuna ukweli kwamba mliopata wapenzi jf mumesajiri ID nyingine??ili msigundulike kama mnachangia mada zakuwasononesha wapenzi wenu???je nikweli? Mawazo tafadhali.
mmmhhh... nahc si pa kwangu hapa mie wa kukesha!!:love:
 
Nimepitia hapa kuwasalimieni..... leo mkoloni kanikamata kikojoleo.

Habari senyu binafsi kwa mpigo?

Babu anarudi kitandani..
 
Nimepitia hapa kuwasalimieni..... leo mkoloni kanikamata kikojoleo.

Habari senyu binafsi kwa mpigo?

Babu anarudi kitandani..
habari yake binafsi ya kinara wa kugongwa........baolohia imekamatwa?
 
habari yake binafsi ya kinara wa kugongwa........baolohia imekamatwa?

We bana ushawahi kuona ukuta unmaangalia TV?
Ushawahi kuona TV inawashiwa kiyoyozi?
Ushawahi bebi kambisha mutu for five times within five awaz?

Kugongwa ni heri ya ngumi au makwenzi kwa watoto
Manake kuna the crapiest na kitu feki...hahahahaha
 
Back
Top Bottom