Eti mliopata wapenzi JF.......

Orait. asante kwa kulijua hili.
alafu usiwasemee wengine.....kama wewe ulitongoza avatar ya sweden ni kwasababu uliipenda avatar.......wengine wanatongoza location.
Nisome..
Hahaha Big bana, wengine watongoza signatures!
 
Hapa imebidi nicheke kwa sauti...
Class mamalia inanuna kwa wewe kumkodolea macho Eliza, then unaona isiwe tabu unamwambia Baby come this way..ndani ya tukutuku haoo mnatimka!
Class mamalia ni noma...............hahahahaaaa!!
 
signature yako mkuu! tujuze hiyo story kama ina ukweli wowote. Napafahamu melville huwa napitapita nikitokea Northcliff.
Kimey................Umemuona huyu?
anaifanya nini signature ya BE??
hahahahahaaa!!
 
Back
Top Bottom