Eti lusinde nae anawindwa auawe

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
kuna watu wengine wanajitaftia umaarufu tu, lusinde auawe kwa lipi?
naona anabwabwaja eti kuna mtu ana mfuata fuata na probably they want to silence him,
ila kumbe nae sometimes anatoa point eh?
naona anadai maji kwa fujo, sasa leo ndo anajua kwamba mkoa wa dodoma ni semi arid kama sio arid zone??????
 
Baada ya jembe nassari kumwaga matirio bungeni dk 2. Zilizopita huyu mtu lusinde anamwaga u...bungeni, anadai tatizo ni hsp ya vichaa dodoma pia wanafunzi wote ni kama jk taifa hamna maji ,adai watu wana misuli wote kwa ajili ya kuchota maji, adai anaogopa kuunga mkono hoja,amevaa suti nyeusi haweki hata nukta kwenye maelezo yake hajaunga mkono haja.....oh sorry hoja
 
Kuna mambo yanasikitisha sana kuhusu aina ya wanasiasa tulionao kwa sasa. Lucinde kusimama bungeni na kukejeli au kufanya mzaha kuhusu kauli za viongozi wengine wanaohofia maisha yao is beyond belief! Anaweza kuwa na private thoughts lakini unapokuwa kwenye bunge lazima awe makini na anayosema. Inawezekana CCM wanaona Lucinde anachekesha, but there is nothing funny kwa mtu kukejeli matatizo anayokumbana nayo mtu mwingine.
 
teh,teh,teh,teh anaweweseka kwa kujaribu kukimbia kivuli chake,nani anahaja na huyo maiti??????.
 
Ji...ng, ovyo std seven, dhaifu...muacheni diwani wake anaitwa mobimba.....mwenye picha please.
 
Kwa hakika ameongea kama mpiganaji hasa. Utadhani wamepana na Nasari.
 
kachekesha kusema tatizo la mkoa wa Dodoma ni vile una jela ya kunyongea watu na hospitali ya vichaa Mirembe
 
Kasema eti akiunga hoja atakuwa mnafiki. Kwake hana maji tangu ukoloni. Leo ndo kajua umhimu wa kutounga mkono? Amesahau kuwa serikali yake ni sikivu? Pia kaongezea kuwa ukifika muda wa kutengeneza watanzania wapya usiku ndo mama anaamuka kwenda tafuta maji. Hajaunga mkono hoja.
 
kuna watu wengine wanajitaftia umaarufu tu, lusinde auawe kwa lipi?
naona anabwabwaja eti kuna mtu ana mfuata fuata na probably they want to silence him,
ila kumbe nae sometimes anatoa point eh?
naona anadai maji kwa fujo, sasa leo ndo anajua kwamba mkoa wa dodoma ni semi arid kama sio arid zone??????

haha mh lusindeeeeeee
 
lusinde nae ana matatizo ya akili, au naye tumpuuze??????
au labda nao ni upepo utapita????
hili taifa bana acha tu
 
kuna watu wengine wanajitaftia umaarufu tu, lusinde auawe kwa lipi?
naona anabwabwaja eti kuna mtu ana mfuata fuata na probably they want to silence him,
ila kumbe nae sometimes anatoa point eh?
naona anadai maji kwa fujo, sasa leo ndo anajua kwamba mkoa wa dodoma ni semi arid kama sio arid zone??????
Hamna keshagundua kuwa tumegundua kuwa ni darasa la saba kielimu. Sasa hiyo ndio anaita kufuatwa fuatwa. Kichwa yake ni ya swain tu!
 
kuna watu wengine wanajitaftia umaarufu tu, lusinde auawe kwa lipi?
naona anabwabwaja eti kuna mtu ana mfuata fuata na probably they want to silence him,
ila kumbe nae sometimes anatoa point eh?
naona anadai maji kwa fujo, sasa leo ndo anajua kwamba mkoa wa dodoma ni semi arid kama sio arid zone??????

Hahahaha !! Labda katembe na mke wa mtu na mwenye mke kajua, anataka kumtenda ile mambo ya siku hizi, sio kumuua!!
 
Back
Top Bottom