eti hizi ndio loans walizopangiwa watu na heslb?

mbona kuna na za w,m,r zi-classfy pia au kubahatisha!

Nani kathibitisha kua ni grade za mikopo?? nimesema kama zikiwa ni grades basi ndo itakua categorized hivyo. maana kuna taarifa ya HESLB Iliyo categorize loan amount kwa namna hiyo,
 
dah mimi hamna kitu jamani......lakini mbona wengine wamewekewa R, hyo inaashiria nini jaman
 
Mbona sijaona grade zozote wakuu...


Angalia hizo red! alafu rudi kwenye selecton! Hizo herufi zipo japo haijulikani kama zinaimanisha hivyo au laa!
M1CIV-D,HIS-C,GEO-D,KIS-D,ENG-D,PHY-C,CHE-C,BIO-C,A2GEN-S,PHY-F,CHE-D,BIO-D,BAS-F,
M1CIV-D,HIS-D,GEO-C,BIB-C,KIS-D,ENG-D,CHE-C,BIO-C,B2GEN-S,GEO-D,CHE-F,BIO-D,BAS-S,
M1CIV-F,HIS-C,GEO-C,KIS-D,ENG-D,CHE-C,BIO-D,BAS-D,---2GEN-S,GEO-E,ADV-E,ECO-D,
M1CIV-A,HIS-C,GEO-C,KIS-B,ENG-C,PHY-B,CHE-B,BIO-B,B2GEN-S,PHY-S,CHE-D,BIO-E,BAS-S,
M1CIV-C,HIS-B,GEO-C,KIS-B,ENG-C,PHY-B,CHE-B,BIO-B,B2GEN-S,GEO-E,CHE-S,BIO-D,BAS-S,
 
A-100%
B-90%
c-80%
D-70%
E-60%
F-50%
H-40%
k-30%
m-20%
p-10%
R-0%
ukiona hujawekewa herufi yeyote ndio basi tena kuhusu mkopo.
 
daah! poleni na hongereni, mmenikumbusha mwaka sasa umepita, nimeagana na hawa board ya mikopo, walinitesa san hawa! duuuh.
 
Back
Top Bottom