Ivi hili ni la kweli kuhusu hzi grades tulizowekewa 1st year wa udsm?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jamani,sisi tuliochaguliwa udsm,pale kwenye matokeo ya form 4 kuna herufi tumeandikiwa ambazo hatujui ni za nin,hzi herufi zko kama ifuatavyo,A,B,C,D,E,F,G,H,J,K,L,M,O,P,R..naomba mnijuze maana kuna wengne wanasema ndio grade ya loan hyo wengne wanasema sio.kwa anaejua hzo herufi zna maana gani anijuze!natanguliza shukrani.
 
Mimi sidhani kama kuna ukweli,ukiangalia watu wengi wamewekewa A,B,C hata kwa non-priority programs. Tusubiri ya heslb wenyewe.
 
[QUOTE =Perry;4485362]tembelea www.udsm.ac.tz,ila lazma uwe unatumia pc.[/QUOTE]

Kueni makin mckurupuke.. Subirini n km ndo grades za mkopo mbn waliosoma masomo saba wote hawana mkopo.. N rejeen zile criterias za loans break down mlizotolewa n relate n hz gradc
 
mbona mnakua kama kenge maji? BODI wanasubir wale waliokosea form zao ambao walipewa fursa ya kuziapdate wamalize kwanza af ndo watoe kwa pamoja kwani wewe unataka wakutoe wewe peke yako? nakama sio bas subir.
 
mdogo wangu tulia au umetumia cheti cha mtu nini mbona kama una moto hiv!!!! kwenye selection hawawez kuweka habar za mkopo!!
 
Back
Top Bottom