Eti Edward Lowassa ni kama Jacob Zuma, upuuzi mtupu!

anayemsafisha Lowasa ningekuwa karibu naye ningemumwagia glass ya komoni iliyohoza naye achafuke , wote wanuke, yaani unajaza pumba humu na kutukana watu, hata kama gamba kuu limeishiwa nguvu za kuwashitaki small magamba lakini si wakati wa kunyamazia huu upuuzi.
 
Hotuba ya hivi karibuni Lowasa kwenye halmashauri kuu ya CCM, ambayo ilimshutumu Rais moja kwa moja na ukimya wa Rais mpaka leo.. Lowasa anaweza asiwe mchafu kwa kiwango tulichoaminishwa, ama anaweza asiwe mchafu kabisa, yote yanawezekana..!

Kama Lowassa si mchafu basi hata Silvio Berlusconi naye si malaya na Adam Malima ni mkristo.
 
Mnajitahidi sana kujiunga na jamii forum, endeleeni kutumwa na huyo FISADI namba moja na mwisho wa siku mtakuja kuona nyie vibaraka @PreZ 2B EL.

mkuu tunaojiunga JF tunakosa nini...this is the home of GT...you need to come out 'smartly'!

soma signature yangu labda utaelewa wengi hapo juu wana hasira na CCM yote na sio mtu mmoja...acha kuwaza kitoto CCM wote wezi tu, na wangekuwa wasafi huyo EL angekuwa jela!!! au??

grow up!!

kua...umeshindwa hoja unataka kutufukuzia wanachama..
 
tumelaaniwa au bado ni wapumbavu tunajadili mambo ya kijinga wenzetu kenya wanafunguwa tawi la super makert moshi yaani alioko moshi atujulishe ,jana nilikuwa naangalia citzen tv nikasikia NAKUMATI wanafunguwa shopping mall tz-moshi kumbuka wao wana bank tz sisi tuna nini kenya wacha kujadili mtu aliye ushindwa uwaziri mkuu tujadili maendeleo


Hata kenya wanawajadili sana wanasiasa wao kina Raila, Uhuru, Musyoka, Rutto na wengineo, acha uongo!
 
wewe pia ni chizi mwengine. Hivi hata yale maneno ya Mwalimu Nyerere hukuwahi kuyasikia? You do not have information, you do not have right to write here.

Kwani Mwalimu hawezi kosea? Si alituambia Mkapa ni Mr. Clean, si aliunga mkono Biafra? Si alitufanya wajamaa na kufail? Sasa kwanini asikosee kuhusu Lowasa? Mwalim alikuwa anapelekewa taarifa nyingi za uwongo!
 
anayemsafisha Lowasa ningekuwa karibu naye ningemumwagia glass ya komoni iliyohoza naye achafuke , wote wanuke, yaani unajaza pumba humu na kutukana watu, hata kama gamba kuu limeishiwa nguvu za kuwashitaki small magamba lakini si wakati wa kunyamazia huu upuuzi.


Nyie wadanganyika! Nani aliyewaloga kuwa Lowassa ndie chanzo cha umaskini wenu?
 
Wana jamvi leo nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti, kuna gazeti moja limeandika eti Lowasa ni kama Zuma kwa maana kwamba ata bounce back na kuukwaa uraisi by 2015 kiulaani kama zuma alivyofanya South Africa.Kwa mtazamo wangu, hili ni picha linaloendelea kwa ajili ya kumsafisha Lowasa ingawa kwa wenye akili zetu timamu hatuwezi kushawishika, tofauti kubwa ya hao wawili ni kwamba, Zuma alisafishwa na Mahakama wakati huyu jamaa anapita kwenye makanisa na magazeti kujisafisha kinyemela.Kashfa yake ni kubwa sana, haiwezekani akatufanya sisi ni watoto katika hili na hayo magazeti yake yanayoitwa sijui JAMBA LEO.
Hivi si ndo vijarida uchwara kama ambavo Mr. Chache huwa anaviita.
 
wewe pia ni chizi mwengine. Hivi hata yale maneno ya Mwalimu Nyerere hukuwahi kuyasikia? You do not have information, you do not have right to write here.

Take it easy Bro, huo ndio msimamo wangu.....at least for now
 
Acha kutokwa na povu bwa mdogo! Hivi ndani ya serikali ya JK nani aliemsafi wa kumnyooshea kidole mwenzie nauliza nani?
Rejea sakata la Jairo ambalo ndo linaelekea kuzima taratibu ripoti imetoa mapendekezo, hao wawakilishi wetu nao wamesema mpaka makoo yamekauka! Kwa sababu nchi hii inaendeshwa kishkaji kizungumkuti cha sakata la Jairo ilikuwa ''funika kombe mwanaharamu apite'' Nani mwenye ubavu wa kumfikisha Fisadi lowasa mahakamani..
Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa Jacob Zuma alikuwa na scandal ambazo uzito wake kuzilinganisha na za EL ni sawa umbali kati ya mbigu na dunia! Kashfa nnayoikumbuka ya Zuma ni ile ya kufanya mapenzi na mwathirika, mwenye kukumbuka anaweza fafanua zaidi..
Unawezaje kumlinganisha JZ na EL katika mizani ipi labda, ole wenu mnaotokwa povu kwa kufanya lolote lililo ndani ya uwezo wenu kumsafisha Lowasa kumbukeni kuna Mungu! Mi nashangaa hivi mtu kama mimi utanipa pesa gani ili nitetee fisadi kama Lowasa na mafisadi wengine?
Lowasa hasafishiki na ilikwisha semwa kuwa Mungu anaweza msaheme EL lakini watanzania msamaha wetu kwake ni kumfikisha kwa court ajibu tuhuma zote zinazomkabili., kisha aachane kbs na biashara ya uraisi kwani ikulu ni mahali patakatifu na wote waingiao ikulu wanapaswa kuwa safi.

Umerukaruka kama unacheza rede. Orodhesha tuhuma za EL zenye uthibitisho tumpeleke mahakamani.
 
Kama wanaomsafisha Lowasa wamefika mbali hivyo kwa kumfananisha na Zuma wamevuka mpaka tutegemee siku wajekutuambia ni nyerere wa pili
 
Acha kutokwa na povu bwa mdogo! Hivi ndani ya serikali ya JK nani aliemsafi wa kumnyooshea kidole mwenzie nauliza nani?
Rejea sakata la Jairo ambalo ndo linaelekea kuzima taratibu ripoti imetoa mapendekezo, hao wawakilishi wetu nao wamesema mpaka makoo yamekauka! Kwa sababu nchi hii inaendeshwa kishkaji kizungumkuti cha sakata la Jairo ilikuwa ''funika kombe mwanaharamu apite'' Nani mwenye ubavu wa kumfikisha Fisadi lowasa mahakamani..
Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa Jacob Zuma alikuwa na scandal ambazo uzito wake kuzilinganisha na za EL ni sawa umbali kati ya mbigu na dunia! Kashfa nnayoikumbuka ya Zuma ni ile ya kufanya mapenzi na mwathirika, mwenye kukumbuka anaweza fafanua zaidi..
.........

Nakubaliana na wewe kuhusu nani aliye msafi CCM. Ilipowadia muda wa kumvua gamba EL hakuna aliyethubutu kuanza - ikawa classic case ya nani amvishe paka kengele. Hapa inafanana kidogo na Zuma kwani ilipofika muda wao wa kujivua gamba, Thabo Mbeki aliingia mkenge na kuisharia JZ afukuzwe chama. ANC ni sawa na CCM - kufukuzwa mtu ni show of hands/ni kura iliyowazi. Walivyopiga kura/show of hands JZ atimuliwe ni kama watu watatu au wanne tuu walinyoosha mikono juu including Mbeki - waliopiga JZ abaki wakawa wengi sana manake jamaa hata kama sio educated ana mtandao wa kufa mtu (kama mtandao wa EL!) Wakamgeuka Thabo Mbeki na kumpigia yeye sasa vote of no confidence, akamwaga manyanga, and ironically, JZ akachaguliwa as TM's replacement!!

Sasa yote haya JK anayajua (isitoshe JZ ni swahiba wake) JK hataweza kusimamia eti EL na wengine watimuliwe CCM. Vilevile, umesikia wapi duniani mwanachama wa chama cha siasa anafukuzwa kutoka chama chake? Hakuna!!! Wanachama huondoka kwa hiari na sio kufukuzwa!!!!

Tusubiri tuone mambo yanaendaje na only then you can exercise your option of voting for the correct candidate - In Tanzania nowadays we are spoilt for choices, don't you think?
 
Tanzania limeshakuwa shamba la bibi kila mtu anataka kutuongoza kwa kutimiza ndoto zake na si ndoto zetu,mkewe kaizari alituhumiwa kuwa ametembea na kijakazi wake,baada ya uchunguzi ikagundulika hakufanya hicho kitendo,kaizari alimuacha mkewe simple cos sawa hajafanya kwann atuhumiwe?the same case to EL hata kama mnasema msafi ila kwann alituhumiwa?anatosha kuwa mbunge na waziri mkuu mjiuzuru(mtuhumiwa) na sio zaidi ya hapo
 
Jamani mtake msitake EL ni msafi. Maana hakuna chombo chochote cha dola kilichothibitisha uchafu wake. Kuachia kwake uwaziri mkuu kisiwe kigezo cha kumhukumu yeye ni mchafu. Bali 2kichukulie kama kitendo cha uwajibikaji na utendaji mwema. Jiulizeni ni wangapi wametakiwa kujiuzulu ila bado wameng'ang'ania madaraka?
 
....makanisa na magazeti kujisafisha kinyemela.Kashfa yake ni kubwa sana, haiwezekani akatufanya sisi ni watoto katika hili na hayo magazeti yake yanayoitwa sijui JAMBA LEO.[/QUOTE]


inavoonekana wewe ni bonge ya fara, angalia katika hiyo kijani, hivi kama lowasa kachafuka unategemea nani aje amsafishe...!! kama siyo kujisafisha yeye mwenyewe, kwa mfano wewe hapo uliyetuma hii thread ukiingia chooni kutoa "kulwa na doto" (haja kubwa na ndogo) unategemea kuna mtu atakuja kukusafisha..?? uungwana hapo ni kujisafisha mwenyewe, na ndicho bwana lowasa anatakiwa kufanya (kama kweli ni mchafu) asisubiri kuja kusafishwa.

pia ufara wako unaonekana katika hiyo rangi nyekundu, usiwe na ujumuisho wa dhana (yaani usizisemee nafsi za watu wengine) unaposema "haiwezekani akatufanya sisi" hawa watu wengine unawaingiza katika mawazo yako binafsi, unajuaje kama wao hawamkubali lowasa..?? hapa ulipaswa uisemee nafsi yako (haiwezekani anifanye mimi...!!)

na mwisho unatutajia gazeti unalodai ni la lowasa kisha wakati huo huo haulijui linaitwaje, yaani hauna uhakika na unachokisema, hayo ni majungu na uzushi.

na ninavyohisi utasema na mimi namsafisha lowasa kwa maneno haya niliyokuambia, shauri yako.....!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom