Eti Edward Lowassa ni kama Jacob Zuma, upuuzi mtupu!

kanta

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
343
65
Wana jamvi leo nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti, kuna gazeti moja limeandika eti Lowasa ni kama Zuma kwa maana kwamba ata bounce back na kuukwaa uraisi by 2015 kiulaani kama zuma alivyofanya South Africa.

Kwa mtazamo wangu, hili ni picha linaloendelea kwa ajili ya kumsafisha Lowasa ingawa kwa wenye akili zetu timamu hatuwezi kushawishika, tofauti kubwa ya hao wawili ni kwamba, Zuma alisafishwa na Mahakama wakati huyu jamaa anapita kwenye makanisa na magazeti kujisafisha kinyemela.

Kashfa yake ni kubwa sana, haiwezekani akatufanya sisi ni watoto katika hili na hayo magazeti yake yanayoitwa sijui JAMBA LEO.
 
Alisafishwa na mahakama kwa kuwa alipelekwa mahakamani na serikali ya mbeki sasa unataka Lowasa asafishwe na mahakama ameshtakiwa na nani,usiwe mvivu wa kufikiri.

Kashfa kubwa ipi? wacha umbea ukizeeka utatisha
 
Hotuba ya hivi karibuni Lowasa kwenye halmashauri kuu ya CCM, ambayo ilimshutumu Rais moja kwa moja na ukimya wa Rais mpaka leo.. Lowasa anaweza asiwe mchafu kwa kiwango tulichoaminishwa, ama anaweza asiwe mchafu kabisa, yote yanawezekana..!
 
tumelaaniwa au bado ni wapumbavu tunajadili mambo ya kijinga wenzetu kenya wanafunguwa tawi la super makert moshi yaani alioko moshi atujulishe ,jana nilikuwa naangalia citzen tv nikasikia NAKUMATI wanafunguwa shopping mall tz-moshi kumbuka wao wana bank tz sisi tuna nini kenya wacha kujadili mtu aliye ushindwa uwaziri mkuu tujadili maendeleo
 
Nikikaa na kufikiria sana huwa nahisi hatari hiyo mbele ya Bounce back ya Lowasa na inawezekana kabisa hali hiyo ikaja na huyo mtu akawa Rais wetu in 2015. Pia nikikaa na kufikiria sana (ingawa kiukweli simpendi EL), huwa naona ana ahueni kubwa kiutendaji kuliko m.k.w.e.r.e na huyo anayejiita mtoto wa mkulima. Lowasa aaliweza kuwa na uthubutu na sio mwoga kutoa maamuzi kama JK ama Pinda. Lakikni yetu macho na tusubiri
 
fisadi wa richmond tumeambiwa ni jk na hajakanusha,labda lowassa ni fisadi wa epa according to dr slaa.
 
Wana jamvi leo nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti, kuna gazeti moja limeandika eti Lowasa ni kama Zuma kwa maana kwamba ata bounce back na kuukwaa uraisi by 2015 kiulaani kama zuma alivyofanya South Africa.Kwa mtazamo wangu, hili ni picha linaloendelea kwa ajili ya kumsafisha Lowasa ingawa kwa wenye akili zetu timamu hatuwezi kushawishika, tofauti kubwa ya hao wawili ni kwamba, Zuma alisafishwa na Mahakama wakati huyu jamaa anapita kwenye makanisa na magazeti kujisafisha kinyemela.Kashfa yake ni kubwa sana, haiwezekani akatufanya sisi ni watoto katika hili na hayo magazeti yake yanayoitwa sijui JAMBA LEO.
Umeipost kiushabiki mno mkuu.Halafu inaonyesha una ule ugonjwa wa academic myopia,huwezi ukalinganisha matukio kijuu juu tu.
 
Pamoja na kumtaja mkuu wa kaya bado yeye mwenyewe hakujitoa kwenye hiyo kashfa, kwa hiyo alichokifanya ilikuwa ni kutuongezea watuhumiwa katika sakata linalomkabili, Lowasa hakuna mahali alipokana kuwa yeye si Fisadi katika yale maneno aliyozungumza pale Dodoma.KINGUKITANO wewe ndo mpumbavu namba moja kwakuwa badala ya kuja na hoja unatema pumba.Sasa huyo bwana yenu Lowasa anapaswa apelekwe Mahakamani kushitakiwa pamoja na huyo M.K.W.E.R.E wenu, mwisho wa siku kama Mahakama itatenda haki mtaona kama atatoka.
 
Mnajitahidi sana kujiunga na jamii forum, endeleeni kutumwa na huyo FISADI namba moja na mwisho wa siku mtakuja kuona nyie vibaraka @PreZ 2B EL.
 
pumbavu alisafishwa na mahakama kwa kuwa alipelekwa mahakamani na serikali ya mbeki sasa unataka Lowasa asafishwe na mahakama ameshtakiwa na nani,usiwe mvivu wa kufikiri.Kashfa kubwa ipi? wacha umbea ukizeeka utatisha
Utaahira unakunyemelea wewe. Madhambi ya lowasa hata mtoto mdogo aliyezaliwa leo anayajua.
 
Hotuba ya hivi karibuni Lowasa kwenye halmashauri kuu ya CCM, ambayo ilimshutumu Rais moja kwa moja na ukimya wa Rais mpaka leo.. Lowasa anaweza asiwe mchafu kwa kiwango tulichoaminishwa, ama anaweza asiwe mchafu kabisa, yote yanawezekana..!
wewe pia ni chizi mwengine. Hivi hata yale maneno ya Mwalimu Nyerere hukuwahi kuyasikia? You do not have information, you do not have right to write here.
 
pumbavu alisafishwa na mahakama kwa kuwa alipelekwa mahakamani na serikali ya mbeki sasa unataka Lowasa asafishwe na mahakama ameshtakiwa na nani,usiwe mvivu wa kufikiri.Kashfa kubwa ipi? wacha umbea ukizeeka utatisha

acha matusi watanzania watamaliza maugomvi yenu.
 
Wana jamvi leo nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti, kuna gazeti moja limeandika eti Lowasa ni kama Zuma kwa maana kwamba ata bounce back na kuukwaa uraisi by 2015 kiulaani kama zuma alivyofanya South Africa.Kwa mtazamo wangu, hili ni picha linaloendelea kwa ajili ya kumsafisha Lowasa ingawa kwa wenye akili zetu timamu hatuwezi kushawishika, tofauti kubwa ya hao wawili ni kwamba, Zuma alisafishwa na Mahakama wakati huyu jamaa anapita kwenye makanisa na magazeti kujisafisha kinyemela.Kashfa yake ni kubwa sana, haiwezekani akatufanya sisi ni watoto katika hili na hayo magazeti yake yanayoitwa sijui JAMBA LEO.

attachment.php

Huyu jamaa hata mtumie sabuni kiasi gani, hasafishiki!
 
Attachments

  • Bounce back by Jacob Zuma.jpg
    Bounce back by Jacob Zuma.jpg
    21 KB · Views: 162
pumbavu alisafishwa na mahakama kwa kuwa alipelekwa mahakamani na serikali ya mbeki sasa unataka Lowasa asafishwe na mahakama ameshtakiwa na nani,usiwe mvivu wa kufikiri.Kashfa kubwa ipi? wacha umbea ukizeeka utatisha

Acha kutokwa na povu bwa mdogo! Hivi ndani ya serikali ya JK nani aliemsafi wa kumnyooshea kidole mwenzie nauliza nani?
Rejea sakata la Jairo ambalo ndo linaelekea kuzima taratibu ripoti imetoa mapendekezo, hao wawakilishi wetu nao wamesema mpaka makoo yamekauka! Kwa sababu nchi hii inaendeshwa kishkaji kizungumkuti cha sakata la Jairo ilikuwa ''funika kombe mwanaharamu apite'' Nani mwenye ubavu wa kumfikisha Fisadi lowasa mahakamani..
Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa Jacob Zuma alikuwa na scandal ambazo uzito wake kuzilinganisha na za EL ni sawa umbali kati ya mbigu na dunia! Kashfa nnayoikumbuka ya Zuma ni ile ya kufanya mapenzi na mwathirika, mwenye kukumbuka anaweza fafanua zaidi..
Unawezaje kumlinganisha JZ na EL katika mizani ipi labda, ole wenu mnaotokwa povu kwa kufanya lolote lililo ndani ya uwezo wenu kumsafisha Lowasa kumbukeni kuna Mungu! Mi nashangaa hivi mtu kama mimi utanipa pesa gani ili nitetee fisadi kama Lowasa na mafisadi wengine?
Lowasa hasafishiki na ilikwisha semwa kuwa Mungu anaweza msaheme EL lakini watanzania msamaha wetu kwake ni kumfikisha kwa court ajibu tuhuma zote zinazomkabili., kisha aachane kbs na biashara ya uraisi kwani ikulu ni mahali patakatifu na wote waingiao ikulu wanapaswa kuwa safi.
 
Wana jamvi leo nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti, kuna gazeti moja limeandika eti Lowasa ni kama Zuma kwa maana kwamba ata bounce back na kuukwaa uraisi by 2015 kiulaani kama zuma alivyofanya South Africa.Kwa mtazamo wangu, hili ni picha linaloendelea kwa ajili ya kumsafisha Lowasa ingawa kwa wenye akili zetu timamu hatuwezi kushawishika, tofauti kubwa ya hao wawili ni kwamba, Zuma alisafishwa na Mahakama wakati huyu jamaa anapita kwenye makanisa na magazeti kujisafisha kinyemela.Kashfa yake ni kubwa sana, haiwezekani akatufanya sisi ni watoto katika hili na hayo magazeti yake yanayoitwa sijui JAMBA LEO.

huo ni upuuzi mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom