Ethiopia War update: Hali ni tete kwa waasi

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
5,110
21,657
Jeshi la Ethiopia limechukua udhibiti wa mji wa Kobo,uliyopo kilomita 20 kutoka jimbo la Tigray.

Kwa mujibu wa kamanda wa vikosi vya Ethiopia amesema muda wowote kuanzia sasa vikosi vya serikali vitakuwa vishafika kwenye mpaka wa jimbo la Tigray,kabla ya kuanza operation ya kuchukua jimbo la Tigray.

Ethiopian federal forces regain control of town 10 miles south of Tigray border

namkubali abby abby kwa ushujaa wake pili kuwapa jeshi ujuzi wa kuwanyoosha hawa wajinga wawafuate hao wajinga wenzao ..nchi yoyote duniani haitakaa ikubali jimbo itawale ndani ya nchi ni ujinga ,trigray ni nani wawatawale serikali kuu kwa sababu wana mtu wao huko juu nyoosha abby waEthiopia wapo nyuma yako
IMG_20211208_004427.jpg
 
namkubali abby abby kwa ushujaa wake pili kuwapa jeshi ujuzi wa kuwanyoosha hawa wajinga wawafuate hao wajinga wenzao ..nchi yoyote duniani haitakaa ikubali jimbo itawale ndani ya nchi ni ujinga ,trigray ni nani wawatawale serikali kuu kwa sababu wana mtu wao huko juu nyoosha abby waEthiopia wapo nyuma yako View attachment 2040953
Unapoona raisi wa nchi anaomba msaada kwa nchi ili asaidiwe kupigana na jimbo lake, basi hilo jimbo kwa uimara wake lilipaswa kuwa nchi.
 
abby kwanza namkubali kwa maamuzi mazuri aliyochukua pili sio mtu anayependa vita hapana wajinga hawa ndy wakaona huyu jamaaa wakimmwingilia kijeshi unajua wajinga hawana shida maana hakuna uchumi ambao wanao utakaoterereka ni uchumi tu wa wa Ethiopia tu lakini ujikirudi nyuma ndani ya nchi kuna jimbo lijitawalae kweli ichukue vifaa vya jeshi kweli utakuwa rais mjinga kama jeshi linachukuliwa vitu abby alichelewaa sana kuwanyoosha hawa wajinga wanaotaka kurudisha nchi nyuma kuwa omba omba nje kwa ajili ya misaada amefanya maamuzi mazuri sana ila shida yote ni watu weupe ndy tatizo kwa dunia ya leo angalia marekani kuna jimbo linaomba lijitawale hapana why africa kuna vita vinakuja tujipange
 
Hii Vita imethibitisha uimara wa TPLF. Yaani majeshi ya nchi za Urusi,China,Iran,Turkey, Eritrea,Ethiopia zinapambana na Wapiganaji wa jimbo moja TU kwa mwaka Mmoja Sasa. Mataifa hayo yamemwaga Silaha za kila Aina, Turkey na Iran wameipa Ethiopia Drones,Urus katoa Makombola ya Ardhini. Jeshi la TPLF halina Drones Wala Vifaru Wala ndege za kivita lakini bado wanapambana.

Endapo Jeshi la TPLF lingepata walau Makombora ya kutungulia ndege za kivita na Drones nakwambia TPLF kwa ushujaa wao wangelikuwa washaiteka Addis Ababa.
 
Vipi pale afghanstan na Iraq kulithibitisha nguvu ya Sadam na Taliban?
Maana majeshi ya nchi kubwa kubwa kama Marekani, U.K, Ufaransa, Ugermany yan NATO walishirikiana kupambana na majeshi ya Taliban na Sadam.
 
Hii Vita imethibitisha uimara wa TPLF. Yaani majeshi ya nchi za Urusi,China,Iran,Turkey, Eritrea,Ethiopia zinapambana na Wapiganaji wa jimbo moja TU kwa mwaka Mmoja Sasa. Mataifa hayo yamemwaga Silaha za kila Aina, Turkey na Iran wameipa Ethiopia Drones,Urus katoa Makombola ya Ardhini. Jeshi la TPLF halina Drones Wala Vifaru Wala ndege za kivita lakini bado wanapambana.

Endapo Jeshi la TPLF lingepata walau Makombora ya kutungulia ndege za kivita na Drones nakwambia TPLF kwa ushujaa wao wangelikuwa washaiteka Addis Ababa.
Kipi kinakushawishi uwasapoti tplf?
 
Jeshi la Ethiopia limechukua udhibiti wa mji wa Kobo,uliyopo kilomita 20 kutoka jimbo la Tigray.kwa mujibu wa kamanda wa vikosi vya Ethiopia amesema muda wowote kuanzia sasa vikosi vya serikali vitakuwa vishafika kwenye mpaka wa jimbo la Tigray,kabla ya kuanza operation ya kuchukua jimbo la Tigray.

Ethiopian federal forces regain control of town 10 miles south of Tigray border Ethiopian federal forces regain control of town 10 miles south of Tigray border
Safi sana. Operation tokomeza vibaraka wa mabeberu wa kimagharibi!
 
Hii Vita imethibitisha uimara wa TPLF. Yaani majeshi ya nchi za Urusi,China,Iran,Turkey, Eritrea,Ethiopia zinapambana na Wapiganaji wa jimbo moja TU kwa mwaka Mmoja Sasa. Mataifa hayo yamemwaga Silaha za kila Aina, Turkey na Iran wameipa Ethiopia Drones,Urus katoa Makombola ya Ardhini. Jeshi la TPLF halina Drones Wala Vifaru Wala ndege za kivita lakini bado wanapambana.

Endapo Jeshi la TPLF lingepata walau Makombora ya kutungulia ndege za kivita na Drones nakwambia TPLF kwa ushujaa wao wangelikuwa washaiteka Addis Ababa.
Sasa uimara uko wapi Kama hawana vifaru na makombora ya kudungulia ndege vita!!?
 
Hii Vita imethibitisha uimara wa TPLF. Yaani majeshi ya nchi za Urusi,China,Iran,Turkey, Eritrea,Ethiopia zinapambana na Wapiganaji wa jimbo moja TU kwa mwaka Mmoja Sasa. Mataifa hayo yamemwaga Silaha za kila Aina, Turkey na Iran wameipa Ethiopia Drones,Urus katoa Makombola ya Ardhini. Jeshi la TPLF halina Drones Wala Vifaru Wala ndege za kivita lakini bado wanapambana.

Endapo Jeshi la TPLF lingepata walau Makombora ya kutungulia ndege za kivita na Drones nakwambia TPLF kwa ushujaa wao wangelikuwa washaiteka Addis Ababa.
Hawa Watigray ni real worriers, huwezi amini mataifa zaidi ya 5 yameungana dhidi ya kikabila ambacho hakifiki hata 10% ya Waethiopia wote. Kwa picha ya vita, Watigray ndio wanapaswa kuiongoza Ethiopia. Nchi haipaswi kuongozwa na vikabila vya hovyo hovyo.
 
Vita ni vita...hizo habar za kujifariji tu, bado ngoma ngumu...alafu vitani habari nyingi ni za uongo...
Congo DRC ukisikiliza redion unaweza sema hali ni safi kabisa..hakuna wanajesh wakulinda aman au waserikali wanaokufa, ni ushindi tu, kumbe..
 
abby kwanza namkubali kwa maamuzi mazuri aliyochukua pili sio mtu anayependa vita hapana wajinga hawa ndy wakaona huyu jamaaa wakimmwingilia kijeshi unajua wajinga hawana shida maana hakuna uchumi ambao wanao utakaoterereka ni uchumi tu wa wa Ethiopia tu lakini ujikirudi nyuma ndani ya nchi kuna jimbo lijitawalae kweli ichukue vifaa vya jeshi kweli utakuwa rais mjinga kama jeshi linachukuliwa vitu abby alichelewaa sana kuwanyoosha hawa wajinga wanaotaka kurudisha nchi nyuma kuwa omba omba nje kwa ajili ya misaada amefanya maamuzi mazuri sana ila shida yote ni watu weupe ndy tatizo kwa dunia ya leo angalia marekani kuna jimbo linaomba lijitawale hapana why africa kuna vita vinakuja tujipange
Unadhani hii vita itaisha tena? Thubutu,upande utakaoshindwa utarudi kujipanga na kuanza mashambulizi upya kwahiyo tayari Ethiopia haitakaa itawalike kwa amani tena. Matumizi ya kijeshi hayajawahi kumaliza vita vya ndani.
 
katika vita yoyote inayotokea kuna mtu yupo nyuma yake watigray lazima kuna adui wa Ethiopia anawasaidia alafu kitu kingine hizi vita ni kwa sababu ya kurudisha nyuma uchumi wa ethiopia vita sio jambo la msaha watigray wanafanya kwa sababu kuna adui anawasaidia sasa adui hana uwezo tena wa kuleta silaha mipaka ndy imepigwa sapna ila tutafute sana amani mtu wa kuumia ni mwananchi hii vita ni hatari sana kwa uchumi wa Ethiopia abby pambana wape jeshi uwezo adui mmalize kabisa ili watu wako wapate amani
IMG_20211208_004427.jpg
 
Back
Top Bottom