Escrow yazidi kuvimba: CHADEMA wampatia kibarua kizito Rais Kikwete kuelekea Hotuba yake kesho

Chadema kudai wana intelejensia ikulu ni hatari kwa usalama wa rais. Viongozi kudai kupata hotuba ya rais kabla ya kusomwa ni hatari.
Kudai jk atawatetea muhongo na maswi ni km kupiga ramli
source itv news.
 
Mkuu,

Habari za siku! Ebu tuwekee tena hapa fasta tuta-download kabla ya modes kufanya ya kwao.

Hahahhaa

Watu mna usongo kujua "maswali 21 ambayo Ruge anamuuliza mkuu kuhusu Escrow"?

Kama kweli Chadema wamenasa mawasiliano hayo na wanaamini ni ya kweli na for public interest wayaweke kwenye tovuti yao watu watayasoma huko.
 
Suala la ESCROW lisipotatuliwa kwa kufuata ushauri wa Bunge ndilo litakuwa anguko la CCM. Huku nje watu wanasubiri kwa hamu kubwa maamuzi ya Mhe. Rais iwe chanya kuhusiana na suala hili. Ikumbukwe kuwa wafadhili wamesitisha fedha zao na wanajua kila kitu juu ya suala hili. Sasa hivi kila kitu kimesimama na wananchi hatutaki kuona hali hii ikiendelea. Mhe. Rais tumia busara zako ili suala hili liishe na tuanze ukurasa mpya.
Yeye ndiyo Jambazi mkuu.
 
Mjumbe wa wodi ya wadhamini chadema arkado ntagazwa amedai wamenasa taarifa toka ikulu za mh kikwete kutumia kikao chakesho na wazee kuwasafisha muhongo na wenzake,, source. Itv
 
Kama walichosema kitatokea kweli kesho,basi nitawavulia kofia Majasusi ya Chadema.
 
Asubuhi ni ilikuwa Nipashe ambayo inamilikiwa na Mengi,saa hv Itv tena,shows Mengi is at war with the government.
 
Hivi CCM itaponea wapi ktk suala hili la Escrow nawaonea huruma kwer maana wanajichimbia Kaburi kubwaaa na refuuu wao wenyewe! Na kikwete atakumbukwa kwa hilo
 
Chadema kudai wana intelejensia ikulu ni hatari kwa usalama wa rais. Viongozi kudai kupata hotuba ya rais kabla ya kusomwa ni hatari.
Kudai jk atawatetea muhongo na maswi ni km kupiga ramli
source itv news.

anyway ngoja niwape siri ni kwamba moja ya nchi wahisani(jina ninalo) wana nzi wao pale kwenye jengo jeupe ambao kwa hakika huripoti kila kitu kwa nchi hiyo na nchi hiyo ndio ipo responsible kuwapa info dr. Slaa na wenzake.
Kwahiyo weka ktk mind yako kwamba info hazifiki moja kwa moja chadema ila hupitia hukoo majuu. Chanzo kwa sasa bado ni 'clasifaid'
 
@murumbasi

Sikio la kufa hilo... Kama likisikia basi ni katika ile ya sikio la kenge...halisikii hadi damu imtoke. Kama ni maji, CCM ilishamwagika tangu waliporudi madarakani mwaka 2010 kwa mazingaombwe ya NEC, UWT na polisi. Yaliyobaki nayo yako kwenye ile hali ya 'ndondondo si chululu...'

Tumaini jitahidini kufanya intelijensia ya hali juu kwa hizi safari za viongozi wa ccm huko china toka 2010 mpaka sasa. Nina mashaka makubwa kuelekea uchaguzi wa 2015 china itajitahidi sana kuhakikisha ccm inarejea madarakani hata kwa kumwaga damu. Mhakikishe mnapata ushirikiano na mataifa ya magharibi kwani nahisi umwagikaji mkubwa wa damu.
 
Hapa hakuna wanahabari hili jukwaa la siasa.Pelekeni upuuzi wenu Tanzania daima.
 
Back
Top Bottom