Escrow: Kijana wa Kitanzania aweka utu wake rehani kuhakikisha CCM haishindi uchaguzi 2015

Mojo

Senior Member
Apr 27, 2011
152
90
Oneni haya mambo hapa. Ni hasira za Escrow au kamchezo kake?

B5eJ4zlIcAA2Dgp.jpg
 
maswali ya msingi ambayo jk alitakiwa kujibu leo
1, ni kwanini ktk kipindi cha miaka7 ambayo account ya escrow ilifunguliwa tanesco haikufanya jitihada zozote kumaliza swala lake na IPTL?
2 kwanini vip ilipouza hisa zake rugemalila aligawa pesa kwa watu je nini kilikuwa kati yao
3, ni kwanini pcb washuhulike tu na watumishi wa umma? je kama kulikuwa na rushewa au wizi ni nani atadeal na hao maaskofu na wachungi
 
Oneni haya mambo hapa. Ni hasira za Escrow au kamchezo kake?

B5eJ4zlIcAA2Dgp.jpg
uuuu



labda kama unamiliki jeshi maana huo mwaka hakuna uchaguzi tunajikumbusha mapinduzi yab zanzibar.we ni mgeni tz hujasikia mwenye kura 456 katangazwa mshindi na yupo ofisini na mwenye kura 578 katangazwa mshindi wa pili
 
Justin bila tume huru ya uchaguzi ma ccm wataendelea kushinda maana chochote kinaweza fanyika.... ukawa watashinda ila mwenyekiti wa uchaguzi anaweza hata wekewa bastola sikioni amtangaze mtu wa ccm. ... pigania tume huru na mageuzi ya kweli na si kuahidi upuuzi kwenye jamii...
 
Labda angesema kama ccm ikishinda kihalali pasi na shaka lkn bado hakupaswa kuweka dau la kifirauni namna hiyo kwani aliyemuumba hapendezwi na ushetani huo. Kijana wewe ni wa thamani sana usijirahisi namna hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom