Doubt any get many
Mshaanza kugobana eeeeh ruttashobolwa ile kesi na Mentor tutashonda so wala usiwaze sanaHalafu ruttashobolwa unataka kuwa mbishi kama jamaa yangu zomba? ulishamwagwa kama hujui kusoma hata picha haijielezi? Kupatiwa maneno mazuri siyo kuwa anakupenda tena. Just 4get her 4EVER.
Hahahaaa ruttashobolwa ni wivu au?Doubt any get many
Mh we kijana mbona una uchuro? Hebu nigongee wimbo wetu Amina coz nimeshammiss
Halafu ruttashobolwa unataka kuwa mbishi kama jamaa yangu zomba? ulishamwagwa kama hujui kusoma hata picha haijielezi? Kupatiwa maneno mazuri siyo kuwa anakupenda tena. Just 4get her 4EVER.
Wewe usijali ntakuletea BADILI TABIAniletee sato
Halafu St. Paka Mweusi kauli yako sijailewa hadi sasa hebu refer age za nyuma then uje na maelezo ya kutosha kabla wakili wangu ruttashobolwa hajakupeleka mahakamaniMwambie huyoo......
dogo nani anakulipia nauli?
Halafu ruttashobolwa unataka kuwa mbishi kama jamaa yangu zomba? ulishamwagwa kama hujui kusoma hata picha haijielezi? Kupatiwa maneno mazuri siyo kuwa anakupenda tena. Just 4get her 4EVER.