Erickb52 kutua jijini Mwanza

kesho saa kumikumi pita kula matunda pizzeria utapata gossip zote za town japo wahusika hutawajua
 
Wana Jf wa Mwanza nikianza na Judgement na charminglady naomba kuwajulisha kuwa ntakuwa jiji humo nikila samaki kuanzia kesho so kwa atakayeweza kupata nafasi atanijulisha walau nimsalimie!
b52

pole sana mkuu Erickb52, nilikuwa nje ya jiji tangu sep 18. nilikuwa kwa akina rutashobolwa na Bishanga. kunaitwa BUNAZI, KYAKA, MISSENYI, BULEMBÒ-KAMACHUMU. Ndo nipo njian kurudi. nikifika ntakutafta mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom