Baada ya serikali kukaaa na wanayoita bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wameamua kuwatosa vijana wenye sifa linganishi kupata mikopo kwa kutoa sababu ambazo hazina mpango wowote, kwani hawa vijana hawana haki ya kupata mikopo? Enzi za mungai, msolla na maghembe hawakuliona hili suala? Mpaka leo hii kwenye uongozi wa kawambwa ndio wameliona hili? Hii sisi haitufai wanafunzi kabisa. Bora watafute njia nyingine, wameamka tu nakusema kuwa mwaka huu mikopo haitatolewa kwa watu equivalent kwa nini?