Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 736
Duh! Hii sasa member wa JF ka scan picha ya mama yake na kuiweka hapa!ENZI HIZO HUPATI DIGRII BILA KUMWONA NYERERE
MWALIMU NA MALECELA NYAKATI HIZO!!!!
WAMETOKA MBALI SANA!!!!
THOSE DAYZ OF MWALIMU
hahaha, hapa kikwete alikuwa dogo aisee, halafu kumbe wametoka mbali sana na huyu profesa ehee!
Thanks ya maneno matupu haivunji mfupa ulomshinda fisi papaLOVELY Photos... thanks sana mkuu
nadhani uko upande mwingine wa dunia hiimwandosya na jk nani aliwaweka pamoja kwenye nege moja? Maana enzi hizi jk alikuwa anamuandama sana mwandosya! Kumbuka enzi zile mwandosya alivyokuwa katibu mkuu wa jk.....jk alilichafua mno faili la mwenzake!!