Enzi zako za 1st year, Bum (mkopo) la kwanza ulifanyia nini?

Hapa mi sina la kuchangia niliishia Darasa la Saba mwaka 1973 na miaka hiyo elimu ya juu kwetu ilikuwa anasa....

Bora yako uliyeishia la saba, mimi bumu la kwanza lilikuwa ni la kupewa na mzazi nalo ni shamba la ekari kumi, na nikaambiwa ndani ya mwaka nililime lote peke yangu.
 
hahahahahhajaaa acha tu, nakumbuka kuna somo lilikuwa na manotes ya kutoa kopi, walahiiii nilikua nanunajeeeeeee

eeheeee......mie nilikuwaga naact kama sijui vile, ila ikitangazwa test ndo naanza kuhaha sasa kuazima madesa ya kutoa copy! Lol.....
 
Bora yako uliyeishia la saba, mimi bumu la kwanza lilikuwa ni la kupewa na mzazi nalo ni shamba la ekari kumi, na nikaambiwa ndani ya mwaka nililime lote peke yangu.


Kaka mtaji mkubwa huo,ekari kumi..??Afadhali yako kaka mimi nilikuwa na ekari saba tu lakini zilikaribia kunishinda,kuzilima peke yangu ni afadhali ufuge nyumba ndogo angalau utaiambukiza mimba...
 
Boom kweli ni feza za wananchi tu!yaan una zipata halaf hazikai mfukoni kabisa!mimi siku ya kwanza kupata mzigo asee nili droo kama 1.5 hivi then nilienda club kunywa sn Villah club pale mwanza hadi nikaibiwa kila kitu!asubui na mapema nilisaidiwa baada ya hapo nilipata demu la kisukuma jamani mdada alikua na kalio yule sijawai ona!asee alinipulusa hadi dhambi!
 
Sijawai kumdanganya! Ila angalia nisije ni kadai ushahidi wako!

Kama ungekuwa na certificate wewe si ungekuwa kalani tu wa mahakama? Hahahah......au ulidanganya ili umpate madam b? Lol
 
Sina haja yakuwa na wakili me mwenyewe niko fit!nita simama me mwenyewe!
Alaf usije kuomba msamaha sababu court is you mother/father to feel sorry for you na nita waitaji wewe na paka mweusi.
Mjiandae kwa kulipa compasation ya sent 50
Wakili wako ni nani?? Mie wa kwangu mabere malando! Lol
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapo nitakapo ambiwa nilete vyeti ndio ntakapo wa mwaga! Kwani huwa si shindwi sababu naenda na evidence!
Uzuri mahakamani si sokoni maneno yako tu na facts vita prove we ni nani! Hakika na penda opportunity!
Angalia tu kusijetokea zali pale utapoambiwa kuleta vyeti vyako!
 
Huwezi kupambana nami ukashinda maana hujui chochote kuhusu mahakana na academic boundary!
Hakika muite mwenzio niendeleze kuwa galagaza kama kawaida yangu!
Inabidi niendelee kukupa shule ili ujue tofauti ya karani, wakili, mwanasheria na hakimu!
Hahahahahahah ita kijiji kizima.
Na nita dai fidia

Eh , mfuga bata umekuja..?? Ngoja nimuite Erickb52 anisaidie kukushambulia,kumbe wewe mwanakarani wa mahakama ya kata tu halafu unatusumbua hapa..mwaka huu...............
 
Last edited by a moderator:
Sina haja yakuwa na wakili me mwenyewe niko fit!nita simama me mwenyewe!
Alaf usije kuomba msamaha sababu court is you mother/father to feel sorry for you na nita waitaji wewe na paka mweusi.
Mjiandae kwa kulipa compasation ya sent 50

Wewe ni wakili wa wezi wa kuku tu...
 
Back
Top Bottom