Enzi zako za 1st year, Bum (mkopo) la kwanza ulifanyia nini?

Hahahaha nimeanza kukushinda hata kabla ya mahakamani!
Na hapo ninge hitaji u prove maneno yako!
Hakika ingekuwa mahakamani umasha poteza point na unge shindwa kesi kwa kupanic!
Nita kufunda ni hakikishe una iva vyema!

Wewe ni wakili wa wezi wa kuku tu...
 
Yaani hapo nitakapo ambiwa nilete vyeti ndio ntakapo wa mwaga! Kwani huwa si shindwi sababu naenda na evidence!
Uzuri mahakamani si sokoni maneno yako tu na facts vita prove we ni nani! Hakika na penda opportunity!

Huwezi kupambana nami ukashinda maana hujui chochote kuhusu mahakana na academic boundary!
Hakika muite mwenzio niendeleze kuwa galagaza kama kawaida yangu!
Inabidi niendelee kukupa shule ili ujue tofauti ya karani, wakili, mwanasheria na hakimu!
Hahahahahahah ita kijiji kizima.
Na nita dai fidia

Ukarani unakusaidia kweli,hata vipengele vya sheria unaanza kuvijua kidogo.........
 
Hahahahahahahahahahahaha
vitu nilivyo navyo ni vizito sana kwa karani kuvifahamu.
sasa umeanza kujua tofauti ya ukarani, uwanasheria na uwakili na uhakimu natumaini utaendelea kujua zaidi! Kamwe utokuja kushinda mapambano nami.
Ukarani unakusaidia kweli,hata vipengele vya sheria unaanza kuvijua kidogo.........
 
Nlienda k/koo nikanunu desktop second hand nikaliweka pale Kibasila hostel, nilifurahi sana kununua kompyuta!
 
Huwezi kupambana nami ukashinda maana hujui chochote kuhusu mahakana na academic boundary!
Hakika muite mwenzio niendeleze kuwa galagaza kama kawaida yangu!
Inabidi niendelee kukupa shule ili ujue tofauti ya karani, wakili, mwanasheria na hakimu!
Hahahahahahah ita kijiji kizima.
Na nita dai fidia
Heheheheheee we endelea kuwadanganya akina Kipipi na St. Paka Mweusi si majaji wakuu tunawaangalia tu
BTW Huna lolote
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka nilinunua kaNOKIA tochi na mpaka leo hii napiga kazi bado nnako,natamani kukagawa ila roho inasita kamenitoa mbali
 
Back
Top Bottom