maisha ya chuo ni anasa sana,kuna jamaa yangu yuko barick kwa sasa,ilikuwa akipata boom baada ya kutoka makumbusho maana ngwasuma walikuwa hawapigi mpaka chweee ikifika mida ya saa 10 wanafunga mziki,jamaa tunakod bajaji tunaenda kumalizia siku kona bar,basi tunakaa pale chini ya bango kuuubwa,,jamaa anaita mjasiria mwili /changu amnyonye dick hapo hapo alipokaa ampe buku tano. Yaani acha tu boom kwa akina dada linaishia kusuka sangita mwenge na kununua vitop wanavyopitisha kwenye vimbweta na kwenda kula UDAS zikiwaishia wanahamia manzese..
heheh......ubahili wako ulikuwa na nguvu zaidi, na we kwakuwa tu shemeji alikuwa anawajibika! Lol
Ok. Sawa umepata kazi. Je, sibado unalipia mkopo? Unajisikiaje hiyo hrla unayokatwa ukikumbuka ulifanyia upuuzi kulilko ilivyokusudiwa? Hakuna kitu kama age justification kwenye maturity. My bro is 18 and he knows how to keep his little money. He spends it responsibly. Tunasahau adha tupatayo tunapokuwa tunatafuta hela, lakini tukizipata tunatumia kama tuliziokota. Whenever you spend your money think of energy spent getting the money. Otherwise hongera kwa kazi yako
Hahahaha! Bora imefungwa eeh
Mie nilimalizia za meal and accomodation pale KILITIMES siku hizi panaitwa Sunciro mitaa ya shekilango, ya stationary niliipigia pale Sisimizi bar! Najua wahusika mnapajua pale
loh..............
Mie nahisi nilikuwa either mshamba or bahili.....
Ila nashukuru boom nilikuwa nalisave....maana starehe yangu ilikuwa kula na ni mara moja moja.....(most of the time shem wako alikuwa anacover teh teh teh).....
Ila nilipomaliza chuo nilikuwa na savings ya kutosha, ilinisukuma kwenda kutafuta ajira, na Mungu alivyo mwema ndani ya miezi miwili nilipata kazi na nikaimalizia kwa kuifanya nauli ya kwenda ofsini....... Hata graduation imenikuta nipo kwa job...
Ubahili oyeeeeeeee
Mie nilimalizia za meal and accomodation pale KILITIMES siku hizi panaitwa Sunciro mitaa ya shekilango, ya stationary niliipigia pale Sisimizi bar! Najua wahusika mnapajua pale
Heshima kwenu wadau,, naona madogo wanaoanza first year wanajaza thread tu za bum huko jukwaa la elimu,, nadhan hii stage wengi tumepitia hasa tuliosoma undergraduate Tanzania...
Je wewe bum lako la kwanza ulifanyia nini?
Enzi zangu nakumbuka mara ya kwanza nilipewa kama laki 6 hivi unusu, enzi naanza first year Mzumbe.. Nilipoziona zimeingia tu bank nikadraw kama Lak 4 nikaenda town kununua home theatre kama lak 2 na nusu hivi then nikawashtua washkaji zangu wa high school tukaenda kwa baunsa ( bar moja maarufu mzumbe kujipongeza kwa kuanza first year) mpaka narudi geto nimebaki na elfu 25 tu...
Enzi hizo ndio Bar ya Igongwe kumekucha.
Utanikamatia wapi?
Bum lote nililifyeka pale.
Bora tu ilivyokufa maana roho ilikuwa inaniuma kila ninapoiona ile Bar enzi hzo nikienda Mwenge.
Kama ungekuwa na certificate wewe si ungekuwa kalani tu wa mahakama? Hahahah......au ulidanganya ili umpate madam b? Lol
Lakini bhana,wanachuo malaya sana,yani Boom lote laishia kwa wauza sukari tamu.
Lakini bhana,wanachuo malaya sana,yani Boom lote laishia kwa wauza sukari tamu.
Yaani bum anasa sana, nilishika hela nyingi za kwangu mwenyewe for the first time, as mzazi halijua sitapata bum kwa shule nilizosoma sekondari, sasa akanipa ada kama m 1 hivi na pocket money kama mia 5 hivi kumbe muhuni nilijaza fomu kimya kimya kutest zali, he mgodi ukatema kufika chuo nikapigwa hizo 600, kufatilia ada nikaambiwa nachangia lak 2 tu,, nikalipa fasta lak 2 yao,,, for the first time account ikawa na kama million 2 ya kwangu mwenyewe... Yaani hiyo semester niliingiza suplementary za ajabu maana ( mi ugonjwa wangu kwenye beer tu)... Yaani nikitoka pindi tu bar...
Mother alikuja kushtuka third year baada ya kutonywa na sister angu kwamba napata bum.. ( Nilijichanganya kumpa ukweli sister home kuwa nina bum).... But kusema kweli pesa za magumashi zinakuwa kama na mapepo hakuna cha maana zaidi ya anasa tu,
Najuuta baada ya kuanza kazi tu HELSB wananikata bum lao, sina hamu
Kuna neno nimelipata hapa na huyu bwana hatanisumbua tena kumbe karaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii..............
Kamata mwiizi meen Kipipi, vicheche huwa wanajisahau