Engagement Ring kwa mwanamke tu, kwa nini?

bht

JF-Expert Member
May 14, 2009
10,336
1,862
hivi kwa nini mwanamke ndio huvalishwa ''ENGAGEMENT RING''?? Kwa nini asivae pia mwanaume ili ijulikane nae anamchumba??
 
lakini inamata sana kwa wanawake can u imagine mchumba/BF anakatiza mtaani na pete yenye kidani ati umemvalisha kama engagement haina mvuto
 
Kwanini tuvae pete?
Kuanzia mambo ya uvaaji pete yameingia kwenye jamii yetu ,
ndoa zimekuwa zikiyuma na kuvunjika kwa wingi,
imani na mapenzi ya kweli vimetoweka.
Bora zirudi enzi zile ambazo watu wahakuvaa pete kabisa.
 
lakini inamata sana kwa wanawake can u imagine mchumba/BF anakatiza mtaani na pete yenye kidani ati umemvalisha kama engagement haina mvuto

lakini inaweza isiwe na kidani kama ile ya mwnamke....hiyo je FL?
 
Hivi pete ina maana yoyote? Binafsi mm naona ni roho yako ndani kama umemkubali mchumba ako na nafsi yako ikaridhia basi haina haja ya kuweke pete unataka umwonyeshe nani?
 
nauonesha umma am proud of whoever aliyenivisha na nampenda ile mbaya!!!
 
Hivi pete ina maana yoyote? Binafsi mm naona ni roho yako ndani kama umemkubali mchumba ako na nafsi yako ikaridhia basi haina haja ya kuweke pete unataka umwonyeshe nani?
Ndio maana mi nimepanga nikimchumbia mtu namvisha kitambaa cheusi mguuni kama alama badala ya pete
 
eeh kazi ipo!! kumfanya mwenzio ka kuku....haya na we utajivika alama gani sasa?
 
Pete (Mtu kachumbiwa), Kiremba(Huyo ni sister) Hijabu (Mama Muislam safi), Joho (Jaji, Askofu, Advocate n.k), Traffic Police(Kofia nyeupe). Hapa suala si pete au utambulisho wowote, bali ni roho ya mtu, commitment, trustful, maadili aliyonayo mtu n.k.

-Aliyechumbiwa pamoja na pete-bado ana boyfriend, pete inasahaulika wanafanya ngano
-Masister pamoja na viremba vyao-vinavuliwa mapdre wanapandilia juu
-Wavaaji wa hijabu-Huvua hijabu wanapofika guest house na kufanya ngono
-Majoho-Jaji anachukua rushwa, Askofu anaiba hela za Dayosis, Advocate rushwa kwa kwenda mbele
-Traffic police- pamoja na kofia zao nyeupe-wanakula rushwa.
 
Hahaaa i can tell u are totally and completely against mafisadi wa aina zote
 
Pete (Mtu kachumbiwa), Kiremba(Huyo ni sister) Hijabu (Mama Muislam safi), Joho (Jaji, Askofu, Advocate n.k), Traffic Police(Kofia nyeupe). Hapa suala si pete au utambulisho wowote, bali ni roho ya mtu, commitment, trustful, maadili aliyonayo mtu n.k.

-Aliyechumbiwa pamoja na pete-bado ana boyfriend, pete inasahaulika wanafanya ngano
-Masister pamoja na viremba vyao-vinavuliwa mapdre wanapandilia juu
-Wavaaji wa hijabu-Huvua hijabu wanapofika guest house na kufanya ngono
-Majoho-Jaji anachukua rushwa, Askofu anaiba hela za Dayosis, Advocate rushwa kwa kwenda mbele
-Traffic police- pamoja na kofia zao nyeupe-wanakula rushwa.
maumivu ya kichwa huanza taaaratibu
 
eeeh bwana fugwe hilo nalo neno
 
ndo hapo sometimez mie huwa sioni hata kwa nini sisi tunavaaa

Naogopa ntaambiwa naelekea kwenye ugender activists...ila kiukweli mi huwa inanitatiza sana na kunipa mwelekeo kwamba anaponivalisha mimi pete ya uchumba, naonekana ahaaa huyu sasa tayari amewahiwa...hakuna nafasi hapo!!!

sasa yye naye inakuaje???

hiii kitu mi staki tena sheeeee!
 
Back
Top Bottom