Engagement Ring kwa mwanamke tu, kwa nini?

Hapa suala si pete au utambulisho wowote, bali ni roho ya mtu, commitment, trustful, maadili aliyonayo mtu n.k..

Hapa umenena mm nina rafiki yangu anafanya kazi Guest iwa ananipa pete nimuuzie walizo sahau hawa wanao sema utambulisho kwa wiki pete si chini ya kumi watu wanasahau Guest.
 
we you are making up sasa!!! prove by bringing those to zero pub uwaoneshe wapwa na biafra utuoneshe mimi na akina ZD pale twaweza kuziombea
 
prove by bringing those to zero pub uwaoneshe wapwa na biafra utuoneshe mimi na akina ZD pale twaweza kuziombea

We tangaza tu dau mm nakuletea mzigo mpaka mlangoni...wewe unafikiri wanapo megana iwa wanakuwa wamevaa?
 
we you are making up sasa!!! prove by bringing those to zero pub uwaoneshe wapwa na biafra utuoneshe mimi na akina ZD pale twaweza kuziombea

Hahaha! Pale zero pub mpwa alishaletaga pete mbili tukabadilisha na kreti nne za bia, wapwa tukaendeleza libeneke. Kama unabisha nenda pale kamuulize Eliza.
 
hahahaaaa, dah.
kama kawaida bandika bandua chuichui.
 
Hahaha! Pale zero pub mpwa alishaletaga pete mbili tukabadilisha na kreti nne za bia, wapwa tukaendeleza libeneke. Kama unabisha nenda pale kamuulize Eliza.

wewe na huyo Eliza shauri yako!!! ZD atakuonfezea majukumu na ya kumfumua weaving ili tu muda wako uwe mfinyu
 
Mwenyewe kashamkubali. Anamsaidia mara mojamoja anapokuwa ameenda kufanya unajimu. Hahaha! Tafadhali usimwambie.
 
behave....sitakusemelezea ila ukirudia kosa nakulipua
 
Mimi ninadhani engagement ring has a lot to do with urembo kuliko identification. Kuna akina dada kibao ninawaona wakiwa na hizo rings vidoleni lakini hawako officially engaged ama walikuwa engaged vichochoroni.

Partly inaweza kuwa ni sehemu ya mila kama ilivyo pale mtu anapokwenda kupeleka mahari kwa bibi harusi, ama kupeleka barua ya posa na mengineyo. Mambo mengi yanayopelekea ndoa huwa yanaelekezwa direction moja.

bht kama unataka kuwa activist, basi inabidi uanze na kubadilisha hiyo direction. ukifanikiwa, posa zinaweza kwenda eitherway, binti akinizimikia anabandika pete ya uchumba ili msichana mwingine asije akajipitisha, na akijipitisha ana haki ya kumpa kipondo cha uhakika.
 
From a males point of view I think expense shouldn't really come into it. I mean as long as thought has gone into it and the thought has gone into the proposal then everything should be fine.Discount code= 10OFF2 will give you 10% off.

___________________________
Sophisticated Jewelry
 
Mimi ninadhani engagement ring has a lot to do with urembo kuliko identification. Kuna akina dada kibao ninawaona wakiwa na hizo rings vidoleni lakini hawako officially engaged ama walikuwa engaged vichochoroni.

Partly inaweza kuwa ni sehemu ya mila kama ilivyo pale mtu anapokwenda kupeleka mahari kwa bibi harusi, ama kupeleka barua ya posa na mengineyo. Mambo mengi yanayopelekea ndoa huwa yanaelekezwa direction moja.

bht kama unataka kuwa activist, basi inabidi uanze na kubadilisha hiyo direction. ukifanikiwa, posa zinaweza kwenda eitherway, binti akinizimikia anabandika pete ya uchumba ili msichana mwingine asije akajipitisha, na akijipitisha ana haki ya kumpa kipondo cha uhakika.

Kev umenisoma barabara...nina mpango huo n do naanda mchakato...senks
 
kwa sababu manaume mara nyingi ndo wana-aproch ingawaje now days wanawake now wamo..., mwanamke akishavaa engagement ring mens wanapunguza speed.
 
hahaha nani kakwambia wanapunguza ndo wanajifanyisha ooh hivi kwa nini sijakuona ,jamani nani huyo kaniwahi ,mala ooh jamani mrembo nilikuwa wapi siku zote teteteteh nia yake mmmh hata simaliziii......
 
Nadhani ni Utamaduni wa nchi kwa sana.Mbona nchi nyingine wanavalishana wote 2 pete za uchumba.Ni kama mahari wahindi mwanamke ndio anatoa.Kumbukeni mazoea hujenga tabia.
 
hahaha nani kakwambia wanapunguza ndo wanajifanyisha ooh hivi kwa nini sijakuona ,jamani nani huyo kaniwahi ,mala ooh jamani mrembo nilikuwa wapi siku zote teteteteh nia yake mmmh hata simaliziii......
ni kweli wanajigonga sana ila si kunakuwa na kauzibe tayari?! so anakuwa hanauhuru sana
 
ni utamaduni tu!
wakati huku bongo kuna BRIDE-PRICE....!...india kuna GROOM PRICE
 
ni kweli hivi vitu tumejitungia tu sidhani kama zama za kale za mawe vilikuwepo
ikaja zama za kati . hakuna maringi ma engagement
 
Back
Top Bottom