yutong
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 1,601
- 338
tatizo shirika limejaa wanasiasa na si wataalamu, tatizo watanzania kila kitu tunaendesha kisiasa. Opportunities zipo kibao lakini no use, tanesco no good. sasa hivi tanesco ilitakiwa nguvu zote waelekeze kwenye vyanzo kwanza. Lakini pia wakati umefika sasa wakuligawa shirika yahani Uzalishaji, Usafirshaji na Ugavi kwishne vinginevyo tutendelea kucheza ngoma ile ile ya mdundiko huku tunacheka tu.