Hamad Mallya
Member
- Apr 3, 2015
- 19
- 4
Wanajamvi ninamaswali siyapatii majibu,
Najaribu kujiuliza itakua vipi kama ukawa wakishinda oktoba kwenye uchaguzi mkuu? Je wataunda serikali ya mseto? au ndio utakua mwisho wa ukawa,maana iko wazi katika kugombea hakuna kiongozi yeyote wa ukawa ambaye yuko tayari kuhama chama chake na kuhamia kingine ili kumpata mgombea mwenza! Hivyo picha inayoonekana hapa ni makubaliano ya kuunga chama kimoja mkono.
Je wakishinda CHADEMA watakua tayari kuunda serikali ya mseto?
Na kama wakiwa CUF nao watakubali kuunda serikali ya kitaifa?
Hali kadhalika NCCR na NLD?
Watanzania tuweni makini na hawa watu tusilete ushabiki tu, tutafakari sana na tuwapime kwa umakini kama wana nia ya dhati na hii nchi.