End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

kafanye kazi achana na nadhalia mbovu....hata dunia ikiisha wewe na mimi tutaendelea kuwepo kwani tulikuwepo kabla ya dunia. Sisi sio hii miili, tumepewa miili kwa kazi ''maalum'' ya muda mfupi tu.
 
Nilivyosoma mahali mbalimbali ikiwemo na humu ni mpango wa freemasons kutawala dunia na mpango huo inatarajiwa kukamilika ifikapo tarehe hiyo. kwahiyo siyo mwisho wa dunia kwani kama walivyoeleza wengine hakuna ajuaye siku wala saa. Na hata huo mpango wa freemasons unategemea kama ndiyo wakati Mungu amekubali itokee hivyo, kama hajakubali haiwezi kutokea.
 
a lot of speculations about 21/12/2012 to be the end of the world are put forward, the evidence given some are relating to bible like in the book of revelation, also our scientist have confirmed on the same day the possibility of earth experiencing solar maxima, coronal mass ejection from the sun, collision with another planet called nibia, earth axial tilt and the most widely connection is the end of the famous mayan calender on the same day, could all these things happening on 21/12/2012 a mere coincidence?

bona;
be specific with what you are writing. Which evidence from the boo of revelation? Be specific and tell us what chapter of revelation and not to generalize issues.
 
Andika kilichozungumzwa humo kwa umakini na kwa uhakika zaidi ukitoa hoja unayotaka ijadiliwe. Unachoshangaa ni kutajwa kwa tarehe au ni kuja kwa mwisho wa dunia? au huendagi kusali ama kanisani au msikitini?. Tofauti ni kuwa huko hawataji tarehe wala saa.
 
Nilivyosoma mahali mbalimbali ikiwemo na humu ni mpango wa freemasons kutawala dunia na mpango huo inatarajiwa kukamilika ifikapo tarehe hiyo. kwahiyo siyo mwisho wa dunia kwani kama walivyoeleza wengine hakuna ajuaye siku wala saa. Na hata huo mpango wa freemasons unategemea kama ndiyo wakati Mungu amekubali itokee hivyo, kama hajakubali haiwezi kutokea.

hata mimi najua hivyo kuwa ikifika tar 21-12-2012 ndo hawa mafreemansory ndo wanaanza kuitawala dunia ktk kila sekta
 
huu upupu,hakuna aneyejua isipo kuwa mungu.mbona walilonga sana siku za nyuma lkn siku zimepita kawaida 2.
 
a lot of speculations about 21/12/2012 to be the end of the world are put forward, the evidence given some are relating to bible like in the book of revelation, also our scientist have confirmed on the same day the possibility of earth experiencing solar maxima, coronal mass ejection from the sun, collision with another planet called nibia, earth axial tilt and the most widely connection is the end of the famous mayan calender on the same day, could all these things happening on 21/12/2012 a mere coincidence?

It is the end of the World not the end of the Earth.Read btn lines.
 
halaf mimi nafikiri bora tu hii dunia ifike mwisho,...ije dunia ingine_inawezekana ikawa mahali pazuri zaidi ya hii.
 
Naandaa thread ya kuelezea 2012/12/21 nitaeleza mengi,msijali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom